Tazama picha ya nyumba ya Obama

Dah..
Kwa hyo anakaa yy tu kwny hiko kisiwa?!
 
Mbona haina fence? Anyways kuna tofauti kubwa sana kati ya mwanasiasa wa Kitanzania (either CCM or Mpinzani, wote hawa wapo kwa masilahi yao binafsi kwanza kabla ya taifa) na Mmarekani.
Kwani peponi kunafance.
 
Jamaa bila shaka utakuwa mhaya,dunia ya Sasa bado unasumbuka na Mambo madogo madogo

Nadhani umesoma ngumbaro, nadhani ndiye nyie mnaopiga kelele za ajira! Sasa kama hata neno EKARI linaitwa HEKARI hiyo ni balaa!
 
Hakuna neno EKARI Mzee.. ni HEKARI au Hectare.

Hectare kiswahili chake ni Hekta na Acre kiswahili chake ni ekari na hivyo ni vipimo viwili tofauti. Ekari ni kipimo kimoja na Hekta ni kipimo kingine! Hiyo Hekari unaijua wewe na nafikiri watu watakuwa wanakucheka sana kwa kupiga chenga hisabati! Pole sana, rudi darasani vipimo hivyo ni hesabu za shule ya msingi.
 
So lovely
 
Majitu ya ajabu sana Haya.. Hesabu hapa ndo ilikolala..japo wala hio haihusiani na Hesabu.. ni lugha tu.

Hongera kwa kujiwekeza, kama alijenga 2001 manake alijenga kabla hajawa Rais

Maisha ya hivyo uwe umestaafu zako umejitenga maporini huko unafuga na kucheza na wajukuu. Mjini unaibuka wakati unapeleka Mzigo wa Maziwa, Matunda, Mifugo au Mayai sokoni ukiwa kwenye Toyota Pickup yako safiii
 
Mbona haina fence? Anyways kuna tofauti kubwa sana kati ya mwanasiasa wa Kitanzania (either CCM or Mpinzani, wote hawa wapo kwa masilahi yao binafsi kwanza kabla ya taifa) na Mmarekani.
Itakuwa na invisible fence kutokana na maendeleo yao ya tech!!
 
Mbona haina fence? Anyways kuna tofauti kubwa sana kati ya mwanasiasa wa Kitanzania (either CCM or Mpinzani, wote hawa wapo kwa masilahi yao binafsi kwanza kabla ya taifa) na Mmarekani.
Kwann ujumlishe ,hawa upinzani nilini wamewahi shika dola tukaona wanaendeleza kukingia vifua uchuro wawezao waliotanguliza uchuo huo

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Mi nilishangaa niliposikia, hata Jiwe na mikwara yake yote ile kumbe na yeye alikuwa anatupiga kinyemela. Yaani wote hawa hawaaminiki.
Rais anayeingia kwa kuiba kura unategemea afanyaje pale anapokuwa na dhamana ya rasilimali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…