Tazama picha ya nyumba ya Obama

Hawa wenzetu sijui watumia mfumo gani kusambaza umeme.

Mtu yupo pembezoni mwa mji lakini sioni mi nyaya ya umeme.

Eti inakuaje hapa wataalam?
Wenzetu nyaya wanapitisha chini
Sasa sisi wabongo kila siku utaona
Huyu anachimba shimo mara kachimba
Kule basi tafrani

Ova
 
Kweli watu wanatofautiana kwa maamuzi
Jimmy Carter yeye hana makubwa kabisa na mpaka sasa anaishi kwenye nyumba yake yenye thamani ya $167,000
Yaani mtambo unaomlinda mbele ya nyumba yake una thamani zaidi ya nyumba

Maisha haya
 
Hapo Obama akitaka kuwa mvuvi, basi hana shida, daily mama Michelle anapata samachi, hehe... Mambo yetu ingekuwa, ila mie sio mstaafu! 🤣 🤣 🤣
 
Tutumie basi na ya mstaafu JK ya kule Msoga tulinganishe .
 
Wall fence huwa hakuna na zaidi labda fence fupi(kama usawa wa magoti) za mbao au maua kwa ajili ya kuonyesha mipaka, kama una wasiwasi na eneo(neighborhood) huwa kuweka CCTV cameras around the house na hata ndani.
Miukuta na mageti ya chuma(Kibongobongo) unaweza hata kuhifadhi makontena ya mizigo ya wizi au magari ya wizi sasa hiyo ya bila ukuta ina faida japo kwa Bongo mtihani.
 
Mbona haina fence? Anyways kuna tofauti kubwa sana kati ya mwanasiasa wa Kitanzania (either CCM or Mpinzani, wote hawa wapo kwa masilahi yao binafsi kwanza kabla ya taifa) na Mmarekani.

Fensi ni kwa africa tu ,usa/ yuropu matajiri wengi hawapigi fensi sijui kwanini.....Check MTV cribs za wasanii wana multibilionea house lakini hazina fense kabisa.
 
Mbona haina fence? Anyways kuna tofauti kubwa sana kati ya mwanasiasa wa Kitanzania (either CCM or Mpinzani, wote hawa wapo kwa masilahi yao binafsi kwanza kabla ya taifa) na Mmarekani.

Maalim Seif alifariki akiwa hana nyumba aliyowahi kujenga wala kununua. Yule Mzee hakua mtu wakawaida kabisa na Zaidi ukimlinganisha na wanasiasa wetu wakiafrika
 

Ingelikua tuna uchumi unaoridhisha basi pasingekua na tatizo. Tatizo linakuja hali yetu ya uchumi na umaskini ulivyo kufanya jambo kama hilo linakua ni suala la matumizi mabaya ya fedha za Umma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…