Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Arudi tu salama tusije kusikia amekamatwa.
Arudi tu salama tusije kusikia amekamatwa.
so jux ni mwenye punda...Hawezi punda ndio wanaoshikwa kama jack cliff ( punda)
Hawezi punda ndio wanaoshikwa kama jack cliff ( punda)
Hizo pozi za juu zinatumiwaga sana na mabwabwa....
Hata ongea yake mshkaji anaumauma sana midomo kama analamba kitu. Hiyo siyo dalili njema
Hizo pozi na swagga mkuu kama ll cool j