Tazama picha za utengenezaji wa video mpya ya Jux huko nchini China

Tazama picha za utengenezaji wa video mpya ya Jux huko nchini China

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Kuna vitu vingi vilimpeleka msanii Jux nchini China ila moja ya kitu kimojawapo ambacho anakifanya nchini humo ni pamoja na ku shoot video ya wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la NITASUBIRI, Jux ameshea picha hizi katika mtandao wa kijamii wa instagram na kuzungumza juu ya ujio wa video yake hiyo itayokujia hivi karibuni.

Tazama picha jinsi utengenezaji wa video hiyo ulivyochukua nafasi huko nchini china
8c3b6e9cc23f11e3a4840002c9c60814_8.jpg


3206cc74c24311e3b65a0002c9d76c50_8.jpg


ab2ef6cec24011e381da0002c954cd9c_8.jpg
 
Arudi tu salama tusije kusikia amekamatwa.
 
Hizo pozi na swagga mkuu kama ll cool j

Sema tu ll cool j, ukiona mwanaume kupiga picha boxa imeshushwa
hadi mishipa ya kuelekea down inaonekana sio dalili nzuri
kaa huamini angalia pozi za mapunga....
 
Back
Top Bottom