Monica Mgeni
Member
- Oct 7, 2021
- 82
- 134
Tayari Serikali imeanza kuboresha Mnada huo kwa kuzungushia Ujio.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Primitive thinking hizi. Mapa 21st century bado una mawazo hayo?Wanashangilia wamepata watu wa kuwanyonya damu,wazigua wachawi mno
ITV ni chwa wa Taifa,badala waende kwenye chanzo/ Ngorongoro na Loliondo wao wamepiga kambi Handeni bila aibu.Wakazi wa Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga wameonesha kufurahia ujio wa wageni waliohamiawilayani humo kutokea Ngorongoro. Pamoja na kutaja faida kadhaa wameeleza pia kuwa, ujio wao umeanza kukuza Mnada wa Nderema kwamba utakuwa ni moja ya mnada kubwa Afrika Mashariki.
Tayari Serikali imeanza kuboresha Mnada huo kwa kuzungushia Ujio.
Msemaji wa serekali alishawapongeza kwa kutoriporti mambo ya huko ngorongoro nadhani na walikunywa na chai ya ikulu hawawezi report na mtu binafsi ukijichanganya kwenda kule wanaenda kukuzika mzima mzimaITV ni chwa wa Taifa,badala waende kwenye chanzo/ Ngorongoro na Loliondo wao wamepiga kambi Handeni bila aibu.
Primitive? Wewe hujawahi kukaa huko huwezi jua watu walivyo na wavyoabudu ushirikina. Waliwahi kukataa Hadi mradi wa barabara ya Rami wakidai 30,000,000/= za tambiko Kuna sejemu inaitwa kwamsisi kwa wachawi na watu wanajivunia hilo!Primitive thinking hizi. Mapa 21st century bado una mawazo hayo?
Huyu Mataga Akikujibu nishituePrimitive? Wewe hujawahi kukaa huko huwezi jua watu walivyo na wavyoabudu ushirikina. Waliwahi kukataa Hadi mradi wa barabara ya Rami wakidai 30,000,000/= za tambiko Kuna sejemu inaitwa kwamsisi kwa wachawi na watu wanajivunia hilo!
Hili tukio nalifahamu , na napafaham mpaka eneo husika.Primitive? Wewe hujawahi kukaa huko huwezi jua watu walivyo na wavyoabudu ushirikina. Waliwahi kukataa Hadi mradi wa barabara ya Rami wakidai 30,000,000/= za tambiko Kuna sejemu inaitwa kwamsisi kwa wachawi na watu wanajivunia hilo!
Naishi handeni kabuku hebu acha uzushi imani za kishirikina zipo kwa watu wachache kama ilivyo maeneo menginePrimitive? Wewe hujawahi kukaa huko huwezi jua watu walivyo na wavyoabudu ushirikina. Waliwahi kukataa Hadi mradi wa barabara ya Rami wakidai 30,000,000/= za tambiko Kuna sejemu inaitwa kwamsisi kwa wachawi na watu wanajivunia hilo!
Mbona wamasai handeni wapo wengi tuu ukiacha hawa wanaokuja saivi na wanafuga mifugo yao vizuri.Ngojea wamasai waanze kulisha mazao yao ndo watajua hawajui