Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Wakazi wa Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga wameonesha kufurahia ujio wa wageni waliohamiawilayani humo kutokea Ngorongoro. Pamoja na kutaja faida kadhaa wameeleza pia kuwa, ujio wao umeanza kukuza Mnada wa Nderema kwamba utakuwa ni moja ya mnada kubwa Afrika Mashariki.
Tayari Serikali imeanza kuboresha Mnada huo kwa kuzungushia Ujio.
Bado mnaishi zama za dunia ya propaganda? Watu wameshaamka muda mrefu wanawachora tu. Endeleeni na maigizo ya kitoto mkiamini kuna watu mnawaokota.