Tazama Tanzania amani tulio nayo

Tazama Tanzania amani tulio nayo

General Nguli

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2022
Posts
1,190
Reaction score
2,508
Kweli... Mungu hatupi vyote sisi watanzania.

Leo yametokea Mashambulizi ya Kivita huko Israel kutoka kwa Palestina.

Huku kuna Ukrain dhidi ya Mrashia.

Pale kuna Mapinduzi ya Serikali sehemu mbali mbali hapa Afrika
Kule Marekani watu wanamiliki silaha nje nje kama simu za Iphone.

Lakini Tanzania yetu ni Burudani
Hatusikii mlio wa bomu wala risasi.
Hakuna kumiliki silaha kama simu.

Ni kula bia nyama...kudaka Wanawake. Ni ku enjoy kwa uwezo wako.

NAIPENDA TANZANIA YANGU

Asante kwa kuishi nchi nzuri yenye Amani furaha tele na mapenzi yote.
 
Naona sisiem mnafarijiana na kujipongeza kwa kuwalaza na kuwapumbaza raia.
Muda unakuja.
 
Back
Top Bottom