GE2025 Tazama usafiri wa mgombea urais wa ACT Zanzibar akisaka kura

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman leo Jumatano Septemba 17,2025 akikatiza mitaa mbalimbali ya Kojani kisiwani Pemba, ikiwa ni kampeni za kusaka kura za urais kwa wananchi wa kisiwa hicho kilichopo mkoa wa Kaskazini Pemba. Picha na Bakari Kiango.

Soma pia: Mapokezi ya Wagombea Urais wa ACT Wazalendo, Mpina na Othman, Unguja-Zanzibar kujitambulisha

Screenshot 2025-09-17 120746.png
Chanzo: Mwananchi
 
Badae wanamuita mezani ale....uchaguzi ukifika anajitoa kukaza fuvu. kmmk
 
Daaass usaniii mtupuuu.....huyo swahiba kinoma wa mamii huku bara....wanafiko hao...wanapewa pesa kudanganya donors tu
 
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman leo Jumatano Septemba 17,2025 akikatiza mitaa mbalimbali ya Kojani kisiwani Pemba, ikiwa ni kampeni za kusaka kura za urais kwa wananchi wa kisiwa hicho kilichopo mkoa wa Kaskazini Pemba. Picha na Bakari Kiango.

Soma pia: Mapokezi ya Wagombea Urais wa ACT Wazalendo, Mpina na Othman, Unguja-Zanzibar kujitambulisha

Chanzo: Mwananchi

Kwani hii ilikuwa danganya toto?

IMG_20250917_172426.jpg

Cc: Zawadini
 
Back
Top Bottom