GE2025 Tazama usafiri wa mgombea urais wa ACT Zanzibar akisaka kura

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Kawaida tu
Hao washapewa ruzuku za kampeni
 
Badae wanamuita mezani ale....uchaguzi ukifika anajitoa kukaza fuvu. kmmk
 
Daaass usaniii mtupuuu.....huyo swahiba kinoma wa mamii huku bara....wanafiko hao...wanapewa pesa kudanganya donors tu
 

Kwani hii ilikuwa danganya toto?



Cc: Zawadini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…