Nadhani unashindwa kutambua NATURE ndio mana kuna matajiri na masikini kuna madaktari engineer, polisi, vibaka
Hvyo kila mtu uchagua path yake ambayo kwake anaona inafaa
Uwezi kucompare na kila mtu
Japani ana kila aina ya teknolojia lkn sasa japani analalama upungufu wa nguvu kazi rasilimari watu
Same as CHINA na baadhi ya nilchi za ulaya
Pambana na unachoamini na be blessed na kile ulichonacho na kinachokupa furaha na amani kishikilie sana PROPERTY ni vitu ambavyo kila siku vinakuja vipya uwezi kuvimaliza vyote