Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Basi hapo Lucha kafurahiiiiAskari wa Jeshi la Polisi wakivutana na waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima waliokuwa wakisali katika kanisa lililopo pembeni kidogo mwa Barabara ya Morogoro.
Askari walifika jirani na kanisa hilo ambapo waliwakuta waumini wakiwa wanafanya ibada kisha ndipo walipoanza kuwaamuru kutoka kutawanyika na pale ubishani ulipotokea baina yao muumini mmoja ameonekana kutiwa nguvuni.
View attachment 3388530
Eli Cohen
adriz