Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Basi hapo Lucha kafurahiiiiAskari wa Jeshi la Polisi wakivutana na waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima waliokuwa wakisali katika kanisa lililopo pembeni kidogo mwa Barabara ya Morogoro.
Askari walifika jirani na kanisa hilo ambapo waliwakuta waumini wakiwa wanafanya ibada kisha ndipo walipoanza kuwaamuru kutoka kutawanyika na pale ubishani ulipotokea baina yao muumini mmoja ameonekana kutiwa nguvuni.
View attachment 3388530
Ni huzuniInasikitisha sana
Ila ukimtegemea Mungu sijui Yesu mbele ya haya majaa yatakuua, bora ukakimbia ukaokoa roho yako Mungu ukamtegemee mbele ya Safari... Mambo yakuita Yesu huku Manyamera yameshika Marungu na bunduki sio poa kabisa..
Hivi enzi zile aliyeamrisha watu kuingia msikitini na kupiga watu ni nani? Lakini nakumbuka alijuta na kutubu kabla ya kufariki. Kuna la kujifunza. Mi naamini Dkt Samia akiona hii clip machozi yatamdondoka na kulia sana, ila hana jinsi maana siyo yeye ila ni lile kundi linalomharibiaAskari wa Jeshi la Polisi wakivutana na waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima waliokuwa wakisali katika kanisa lililopo pembeni kidogo mwa Barabara ya Morogoro.
Askari walifika jirani na kanisa hilo ambapo waliwakuta waumini wakiwa wanafanya ibada kisha ndipo walipoanza kuwaamuru kutoka kutawanyika na pale ubishani ulipotokea baina yao muumini mmoja ameonekana kutiwa nguvuni.
View attachment 3388530
Wapigwe tu, pumbafffff zao.Msenge ni mama yako mzazi huwezi kututukana wewe kama nani uwe na mamlaka ya kututukana sisi alafu sisi tusikutukane wewe mm nasema msenge ni mama yako mzazi na babayeko wa kambo
Wapigwe tu.Kuna kiongozi mpumbavu sana.
Wapigwe tu.Msenge baba ako aliekuleta duniani maku wewe
Mjinga yalala seketeke hajui hata maana yake😂😂😂😂Askari wa Jeshi la Polisi wakivutana na waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima waliokuwa wakisali katika kanisa lililopo pembeni kidogo mwa Barabara ya Morogoro.