sacred wall
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 802
- 1,322
crippled masikini halafu eti tunaiponya nchi... Seif na wewe uende tu huko
crippled masikini halafu eti tunaiponya nchi... Seif na wewe uende tu huko
Huo ni mtazamo wako! Lakini deep down najua unakubali kuwa Maalim Seif Sharif Hamad amepata final farewell anayostahili kama kiongozi mzalendo mpigania maslahi ya watu wengi!Mazishi ya heshima??!!, ukifa umekufa hakuna Mazishi ya heshima.
nimetoka Pemba Jumapili, hayo mambo yanayozungumzwa humu ndani juu ya maalim seif na uamuzi wake unaoitwa wa kwenda kinyume na harakati za upinzani ni tofauti kabisa (nilihudhuria mkutano wake konde na wananchi walijitokeza kwa wengi sana, ilikuwa ni wiki chache kabla hajaenda chato)Wengi wenu tatizo lenu ni kua hamjawahi kumuelewa Maalim Seif, wala hamkuwahi kufuatilia kwa karibu harakati zake za kisiasa, mumekua mukiziona juu juu tu. Ndio mana munaropokwa ovyo mitandaoni. Wanaomuelewa Maalim Seif ndio hao waliojaa kwenye viwanaja mchana huu.
Kuna siku nitalizubgumzia hili. Kuna wapinzani wa kweli tuliowaamini tukiamini wanaweza kupima mambo kwa weledi. Hata legends wa hapa JF tuliowaheshimu wamekuwa wepesi sana. Wamechukuwa upinzani kuwa in chama Fulani na wamejifunika shuka hawataki kuyaona yaliyo nje.Mkuu umekua ukizungumza maneno ya ajabu siku za karibuni, inasikitisha kwa kweli
Huyo mdiye Makamu wa kwanza wa rais wa zanzibar ajaye baada ya maalim
Hapa Jussa akiingia msibani kumuaga Maalim Seif. Inatia uchungu sana.
Kenge asikiagi hadiDuh! Aisee si ajabu ndiyo kishakuwa kilema! Na hiyo barakoa mbona kaishusha hivyo ina faida kuvaa halafu ukaacha pua na mdomo wazi? 😳
Kuuliza si ujinga
Hapa Jussa akiingia msibani kumuaga Maalim Seif. Inatia uchungu sana.
Wazenji walio uawa walikuwa laki moja? Nasikia, walikuwa milioni nne! Ukubali milioni nne, italeta kiki unayoitafuta!Ccm haijawhi kushinda Zanzibar. Tena Safari hii maalim seif alishinda kwa kishindo ila akanyanganywa tu. Fikilia vile vifaru vilikuwa vinafanya Nini na kwa Nini waliua wazenji wengi takribani laki moja ili kuwakandamiza wasidai ushindi wa seif
Has he paralysed? Pole sana Jussa
Hapa Jussa akiingia msibani kumuaga Maalim Seif. Inatia uchungu sana.
Wazenji walio uawa walikuwa laki moja? Nasikia, walikuwa milioni nne! Ukubali milioni nne, italeta kiki unayoitafuta!
Kuuliza si ujinga
Huyu ni nani katika siasa za Zbr,
Asante sana Kiongozihuyo ni Tundu Lisu wa Zanzibar, ni mwanasiasa machachari Zaidi kule Zanzibar.
Umewakilisha comment yangu! Thaaantee!Kama sifa ya kulazimisha maridhiano ni ili mkifa mzikwe vizuri hata kam mtaachiwa vilema vya kudumu, hongereni.
Naamini Chadema wamekataa kuwepo kwenye kundi hilo, Chadema wanataka heshima iwepo kwa wote bila kulazimishana maridhiano ili kutimiza interest zenu za kisiasa bila kujali athari walizopata wanachama wenu.
Mungu mbariki Ismail Jussa
Hapa Jussa akiingia msibani kumuaga Maalim Seif. Inatia uchungu sana.
Hapa Jussa akiingia msibani kumuaga Maalim Seif. Inatia uchungu sana.
Video mbona haipo?
Hapa Jussa akiingia msibani kumuaga Maalim Seif. Inatia uchungu sana.