Tazama video ya Jussa, jiulize ilikuwaje ACT Wazalendo ikaunda Serikali ya mseto


..tatizo wanaoumizwa na kutiwa vilema ni wapinzani tu. ccm wao aaahh, wako na raha zao.

..binafsi simlaumu mtoa mada, na pia siwalaumu mnaounga mkono ACT kujiunga na GNU.

..ninachojiuliza ni hali hii ya wapinzani kufanyiwa unyama na ccm, na kutendewa kama raia wa daraja la tatu itaisha lini?
 

Ndio tupo kwenye mapambano mkuu
 
Unabinua midomo kuwa Mwenyezi Mungu upanga kila jambo. Kwa hiyo kumtia jusa kilema na kupiga Lisu risasi ni mpango uliopangwa na Mungu?. Mifuvu mingine shida sana duniani hapa.
 
Sayansi ya kutia watu ulemavu na kuuwa.
 
We Mpumbavu kweli sasa kama wewe usingekuwa na chuki mngempiga lisu risasi au kumtia jusa ulemavu. Au zile Risasi ndiyo upendo?. Mafuvu yaliopooza kama lako yana shida sana
 
Mungu atawalipeni kwa mlicho mtendea Ismail Jussa
 
Hapana hapa mnamuonea Zitto , akubali akatae ACT upande wa zenji inamsikiliza zaidi maamuzi ya Maalim/Duni na sio upande wa Bara.

Kingine zitto aliwahi disclose assets zenye thamani zaidi ya 3 billion.... Hawezi kulala njaa kisa pesa ya ubunge. Afterall ni msomi wa ngazi ya PhD hawezi kosa consultancy opportunities au nafasi hta world bank huko kma part time.

Kiufupi wanasiasa wengi wanajiweza kiuchumi ila wanachotaka ni POWER na INFLUENCE. So hta Zitto anaweza kuwa hajapata hta senti 5 ila alichoangalia ni ACT kupata ushawishi na kuwa mbadala wa CHADEMA long-term.

Hta mmi siwaungi mkono maridhiano ila nadhani walihitaji breathing space kwa udogo wao otherwise wangepoteana kabisa.
 
Phd katunukiwa lini na wapi?
 
Walipigaga huyo mtu mpaka waka ua kabisa mguu wa kushoto, hapa ndio utawajua CCM ya Magufuli kwenye madaraka hawatanii.
 
Wanaomlaumu Seif Sharif ni watanganyika walioshindwa japo kuandama na hawajui wanataka nini

Wazanzibar wanajua wanachokitaka siasa zao ziko mbele kuwaliko watanganyika sasa mmebaki kutafuta wa kumtupia lawama nyie keyboard warriors

Wenzetu siasa ni maisha sisi kwetu siasa ni Ajira
 
Phd katunukiwa lini na wapi?
Mkuu PhD alianza nadhani 2015 kma sikosei..... Pengine anafanya by Dissertation tu so hapo inahitajika papers za kutosha kabla hujagraduate. Minimum ni miaka 5 so ni suala la muda tu but content wise ni PhD candidate yule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…