Hiyo ya kubong'oa hapana siijui ila hyo nyigine ya kama umebandikwa vikombe naijua inaitwa Cupping,au kiswahili inaitwa kupiga chukwu,yaani akiweka hivyo hivyo vikombe vinavuta damu yote ambayo ni chafu,then atavitoa atapiga chale ndogo ndogo tena ataivuta hiyo damu chafu then itatoka yote,hapo mwili wotw utakuwa una damu amabyo ni safi,asili ya hiyo tiba ni Misri ni tiba nzuri sana,yaani pale penye tatizo ndani ya mwili patatoa damu nyingi sana alafu nyeusi,yaani inaweza toka nyingi sana,usiogope hiyo yote ni chafu mwili uta replace na nyingine ambayo ni safi