Tazama wachezaji wa michezo tofauti wanavyotibiwa baada ya kushiriki michezo

Tazama wachezaji wa michezo tofauti wanavyotibiwa baada ya kushiriki michezo

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Tazama wachezaji wa michezo tofauti wanavyotibiwa baada ya kushiriki michezo hiyo ikiwemo muogeleaji Michael Phillips, Mchezaji soka Mario Balotteli na Bondia Anthony Joshua.
09049ec2aa8e95b73ebcf459ff1213e2.jpg
38a0d31e0991e14c7dbdf294a011e036.jpg
615fe49b07160a35aa94f46893d191e1.jpg
 
Yaani nifanyiwe kama hivyo anavyofanyiwa Baloteli? Bora nioge maji ya moto tu, huwa yanasaidia sana.
Hizi starehe starehe hizi ndiyo maana watu wanaishia kuwa mashoga
 
Hapo kwa Super Mario Baloteli kwa jinsi alivyojipinda hivyo hadi ' Kishtobe ' chake chote Kimejiinua mithili ya Lenzi mbinuko nitakuwa wa mwisho kutoamini kama huyo Mzungu aliye nyuma yake ' hakuipenyeza ' hata Kichwa tu ' myuuuuuuuuuuuu '. Amekaa ' utamu ' mno hadi raha mukide!
 
Hiyo ya kubong'oa hapana siijui ila hyo nyigine ya kama umebandikwa vikombe naijua inaitwa Cupping,au kiswahili inaitwa kupiga chukwu,yaani akiweka hivyo hivyo vikombe vinavuta damu yote ambayo ni chafu,then atavitoa atapiga chale ndogo ndogo tena ataivuta hiyo damu chafu then itatoka yote,hapo mwili wotw utakuwa una damu amabyo ni safi,asili ya hiyo tiba ni Misri ni tiba nzuri sana,yaani pale penye tatizo ndani ya mwili patatoa damu nyingi sana alafu nyeusi,yaani inaweza toka nyingi sana,usiogope hiyo yote ni chafu mwili uta replace na nyingine ambayo ni safi
 
hahahaaa,,duh iyo tiba ndo inatibu nn ss??[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mbona Maria ana kibukta kinabana hata nafasi ya hakina jamani..

Mna fikra za ajabu sana.. mtu huwezi kuwa na fikra kama hizo kama hauyawazii hayo.
 
Wakisema wawafanyie wachezaji wetu wa bongo basi ndio michezo tutakuwa tumeiua na kuizika wenyewe, labda hiyo tiba ifanywe na ke kwa ke na me kwa me
 
Daah watu mna NEGATIVE minds hatari sana..
Usijute anatibiwa misuli ya paja au tako hapo
 
Mawzo ya wabongo bhana ukisoma comment za wachangiaji hapo juu ndo utajua ugumu uliopo kuwaongoza waafrika,utasema wanatania kumbe mtu ndo keshamaliza hivyo!!
 
Back
Top Bottom