Tazama Waisrael waoga wakipambana na raia wasio na silaha tena kiziwi

Tazama Waisrael waoga wakipambana na raia wasio na silaha tena kiziwi

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

Wanajeshi wa Israel wanachapisha video inayowaonyesha wakimtesa kiziwi kutoka Gaza. Hili linakubalika kabisa kwa utawala wa mauaji ya halaiki huko Tel Aviv na kusherehekewa na Wazayuni kote Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

Israel haina nafasi katika Asia ya Magharibi.
=========================
Israeli troops publish a video showing them torturing a deaf man from Gaza. This is completely acceptable for the genocidal regime in Tel Aviv and celebrated by Zionists across occupied Palestine.

Israel has no place in West Asia.

View: https://x.com/samstar5052998/status/1729937540273336700?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Badala wapambane na Hamas wanatesa raia tu kama huyo kizwi si wanamuonea bure,
 
Ndio kazi wanayo iweza .
 
Gaidi hata awe kiziwi,kama anahatarisha usalama niwa kupiga.Kama umekasirika sana nenda kaungane na magaidi ya Hamas uwahishwe jehanamu.
 
kuna nchi 3 ama 4 ndiyo natamani moja wapo ama zote zitawale Dunia.
China,India,na ile jamhuri sijui Lolanginya/Burma( i can't spell it properly and Google isn't installed in my phone).
hawa jamaa ndiyo wanajua tiba ya ugonjwa wa waislam.
rate ya waislam kupona vichaa vyao kila wakikutana na hawa jamaa ipo juu sana kuliko kwingineko.
China Uislam unachukuliwa kama Ugonjwa wa Akili na ndivyo ilivyo.
uliberali wa ulaya ulipotoka kwa kudhani Uislam ni Dini.
 
Attachments

  • 20231121_085138.jpg
    20231121_085138.jpg
    57 KB · Views: 4
Wanaukumbi.

Wanajeshi wa Israel wanachapisha video inayowaonyesha wakimtesa kiziwi kutoka Gaza. Hili linakubalika kabisa kwa utawala wa mauaji ya halaiki huko Tel Aviv na kusherehekewa na Wazayuni kote Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

Israel haina nafasi katika Asia ya Magharibi.
=========================
Israeli troops publish a video showing them torturing a deaf man from Gaza. This is completely acceptable for the genocidal regime in Tel Aviv and celebrated by Zionists across occupied Palestine.

Israel has no place in West Asia.

View: https://x.com/samstar5052998/status/1729937540273336700?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Sasa ulitaka yajirudie ya 7-10?
Wanaifuta HAMAS, na wakikaa vibaya Wafilisti wote wataondoshwa.
 
Sasa ulitaka yajirudie ya 7-10?
Wanaifuta HAMAS, na wakikaa vibaya Wafilisti wote wataondoshwa.
Huyo kiziwi ni raia tu wa kawaida unaenda kumshambulia wakamate Hamas si mnasema wapo kwenye mahandaki.
 
Huyo kiziwi ni raia tu wa kawaida unaenda kumshambulia wakamate Hamas si mnasema wapo kwenye mahandaki.
"mnasema" nani huyo?
Kwani wapo wapi?
Wanafukuliwa kutoka wapi?
HAMAS misaada yote ya Palestina wanatumia kuchimbia mahandaki chini ya shule na hospital za Indonesia na Al shifa:
Hakuna jiwe litasalia cjini ya jiwe.
Kila shambulio mnaonyesha watoto tu ndio wameuliwa ila hakuna mtu mzima, hao watoto wanaishi wenyewe, mnawapaka damu na mavumbi.
Mliyatimba wenyewe sasa mnasogezwa pahala mkakutane na hao ma -bikra 72.
 
Point ni kutokuwa na Silaha..., Kwani kiziwi hawezi kuminya Trigger ?
 
Kwani ni lazima uwe unachapisha matusi/kashfa ili uonekane una uchungu mwingi kwa "wanaoonewa"?
Wewe punguani kweli mimi natukwanwa nachofanya najibu angalia post zinazonishambilia harafu sihitaji ushauri wako kama upendi post zangu zipotezee tu usisome.
 
Back
Top Bottom