Hao jamaa huwa wanalipa vizur kuna mwaka nilienda kumcheki jamaa angu walikuwa wanapokea take home 900k ila nilishangaa kwa upande kama kigamboni asilimia kubwa ni ndugu yaani kazi wanabebana kwa MTU baki ni ngumu sana ..jarbu bahati yako mi nazungumzia ya mwaka 2016 sijui asaiv wanaendeleaje?Habari,
Naomba kujuzwa kwa wenye uzoefu na hawa jamaa wa mradi wa bomba la mafuta la TAZAMA (TANZANIA ZAMBIA MAFUTA)
Hivi wanalipaje kwa nafasi ya ulinzi?
Mana nimeona wametangaza nafasi na wamesema mshahara mnono.
Naomba kwa mwenye uzoefu au ambae anafanya nao kazi anijuze.
Ahsante
Huyo jamaa yako anafanya nafasi ya ulinzi au nafasi gani ?Hao jamaa huwa wanalipa vizur kuna mwaka nilienda kumcheki jamaa angu walikuwa wanapokea take home 900k ila nilishangaa kwa upande kama kigamboni asilimia kubwa ni ndugu yaani kazi wanabebana kwa MTU baki ni ngumu sana ..jarbu bahati yako mi nazungumzia ya mwaka 2016 sijui asaiv wanaendeleaje?
Kivipi mkuuWeka tangazo niwasanue wana
Upo sahihi pale kupata kazi kama hauna mtu mle ndani ni ngumu sanaHao jamaa huwa wanalipa vizur kuna mwaka nilienda kumcheki jamaa angu walikuwa wanapokea take home 900k ila nilishangaa kwa upande kama kigamboni asilimia kubwa ni ndugu yaani kazi wanabebana kwa MTU baki ni ngumu sana ..jarbu bahati yako mi nazungumzia ya mwaka 2016 sijui asaiv wanaendeleaje?
Kuna nafs gan wametoa maaan mm nasikilizia apa plant operstor waiite majjnMaombi c mwisho leo na unatuma kwa njia ya posta