TAZARA (1960 tech) vs Kenyan SGR (2017 Tech)

Personally I don't see any significant difference between the newly constructed Kenyan SGR vs TAZARA, especially when we consider the time gap (50+ years)
Kenyans are Very Stupid, the Chinese reintroduces 50+ old technology and they just accepted...
 
See TAZARA trains (0.5 century old), still Better than the newly constructed Kenyan SGR
IMG_20171006_234046_814.JPG
IMG_20171006_233934_825.JPG
IMG_20171006_234033_608.JPG

IMG_20171006_234021_043.JPG
 
Nangoja sana kuona vile train zenu za mizigo zitakuwa.
Time will tell
 
hio tu ndio umeona??😀😀😀 what abt the rest...i sense some wivu 😀😀😀

Wivu wapi bana, station nzuri Ila Train Kama za Tazara na TRL. We kubali umekosea kuchukua picha ya Subway station ya nchi nyingine na kuonyesha ni yenu.
 
unadhani mtaletewa bullet train za mizigo...ngoja uone
wanangoja bullet train zikasafirishe mizigo...lol! education system for these niggas is wanting...who doesn't know that freight trains are not known for their beauty??
 
Hazitokuwa bullet train zankusafirisha mizigo, lakini zitakuwa nzuri kuliko hizo za abiria za Kenya,
See TAZARA trains (0.5 century old), still Better than the newly constructed Kenyan SGR
View attachment 603570View attachment 603571View attachment 603572
View attachment 603573
 
reli zote za mizigo duniani zinakaa hivi...uende america,australia,japan ,argentina ni hivo hivo
Kubali tu ukweli kwamba hapo hamna kitu sababu wakati vinakuja ilikua debate of the nation lakini jubilee wanavyojua kuzichezea akili zenu walivyoona Tanzania tunajenga reli kama ulaya wakawadanganya tutaiwekea umeme.

Mchina hana huo muda mchafu, hawezi kuweka umeme wakati pesa yake haijarudi
 
Uzalendo kazi kweli yaani,hv ss watz haasa jamani inakuwaje kulazimisha kushindana na Kenya ilhali inajulikana wenzetu wako mbele kihatua.Kujitambua ni nusu ya kufanikiwa,tusipo kubali tukajipanga tutaishia kuja hapa na vipichapicha kila uchwao mara ooh mwendokasi,mara ooh miundombinu , mara TAZARA urfoot shirika linaendeshwa kwa hasara miaka nenda miaka rudi leo unaleta vipicha hapa kushindana na watu ndio kukuwa kiuchumi hukooo eeh, ndio usomi huooo eeh,ndio uzalendooo kuanzisha mada ambazo mnajuwa wazi tunashindana na aliyembele yetu,banchote kwelikweli nyie
 
Sidhani kama hata mikoa mitatu hapa Tanzania ulishaitembelea, sasa si useme kitu ambacho Kenya imeizidi Tanzania ili utuelimishe, sasa wewe unasema inajukana kwamba Kenya wakombele, nani anayejua?, kama wewe unajua tunaomba utuambia ili utufanye na sisi tujue kama unavyojua wewe, lakini ninakutahadharisha usijedhalilika ikaonekana huko kujua kwako kumbe ni ujinga hujui lolote
 
reli zote za mizigo duniani zinakaa hivi...uende america,australia,japan ,argentina ni hivo hivo

Acha uongo wewe, kwanini unajinyima elimu, google si hipo kwa nini unashindwa kusearch kabla ya kuandika uongo?

Hebu angalia hapa
image.jpg

Hii hapa ni ya Australia uliyotudanganya
image.jpg

Hii hapa ni ya mizigo, ni engine ya umeme
image.jpg
 
Uzalendo kazi kweli yaani,hv ss watz haasa jamani inakuwaje kulazimisha kushindana na Kenya ilhali inajulikana wenzetu wako mbele kihatua.Kujitambua ni nusu ya kufanikiwa,tusipo kubali tukajipanga tutaishia kuja hapa na vipichapicha kila uchwao mara ooh mwendokasi,mara ooh miundombinu , mara TAZARA urfoot shirika linaendeshwa kwa hasara miaka nenda miaka rudi leo unaleta vipicha hapa kushindana na watu ndio kukuwa kiuchumi hukooo eeh, ndio usomi huooo eeh,ndio uzalendooo kuanzisha mada ambazo mnajuwa wazi tunashindana na aliyembele yetu,banchote kwelikweli nyie
We mshenzi hakuna aliyekuita hapa kila mtu na mtazamo wake, ukiona haikufai kafie mbele huko you are no one here.
 
Back
Top Bottom