unadhani mtaletewa bullet train za mizigo...ngoja uonenenda ulaya uone kama ziko hizo unazosema. zote ni electrified.
hio tu ndio umeona??πππ what abt the rest...i sense some wivu πππ
nimekosea...Wivu wapi bana, station nzuri Ila Train Kama za Tazara na TRL. We kubali umekosea kuchukua picha ya Subway station ya nchi nyingine na kuonyesha ni yenu.
wanangoja bullet train zikasafirishe mizigo...lol! education system for these niggas is wanting...who doesn't know that freight trains are not known for their beauty??unadhani mtaletewa bullet train za mizigo...ngoja uone
Hazitokuwa bullet train zankusafirisha mizigo, lakini zitakuwa nzuri kuliko hizo za abiria za Kenya,wanangoja bullet train zikasafirishe mizigo...lol! education system for these niggas is wanting...who doesn't know that freight trains are not known for their beauty??
See TAZARA trains (0.5 century old), still Better than the newly constructed Kenyan SGR
View attachment 603570View attachment 603571View attachment 603572
View attachment 603573
Kubali tu ukweli kwamba hapo hamna kitu sababu wakati vinakuja ilikua debate of the nation lakini jubilee wanavyojua kuzichezea akili zenu walivyoona Tanzania tunajenga reli kama ulaya wakawadanganya tutaiwekea umeme.reli zote za mizigo duniani zinakaa hivi...uende america,australia,japan ,argentina ni hivo hivo
Sidhani kama hata mikoa mitatu hapa Tanzania ulishaitembelea, sasa si useme kitu ambacho Kenya imeizidi Tanzania ili utuelimishe, sasa wewe unasema inajukana kwamba Kenya wakombele, nani anayejua?, kama wewe unajua tunaomba utuambia ili utufanye na sisi tujue kama unavyojua wewe, lakini ninakutahadharisha usijedhalilika ikaonekana huko kujua kwako kumbe ni ujinga hujui loloteUzalendo kazi kweli yaani,hv ss watz haasa jamani inakuwaje kulazimisha kushindana na Kenya ilhali inajulikana wenzetu wako mbele kihatua.Kujitambua ni nusu ya kufanikiwa,tusipo kubali tukajipanga tutaishia kuja hapa na vipichapicha kila uchwao mara ooh mwendokasi,mara ooh miundombinu , mara TAZARA urfoot shirika linaendeshwa kwa hasara miaka nenda miaka rudi leo unaleta vipicha hapa kushindana na watu ndio kukuwa kiuchumi hukooo eeh, ndio usomi huooo eeh,ndio uzalendooo kuanzisha mada ambazo mnajuwa wazi tunashindana na aliyembele yetu,banchote kwelikweli nyie
Wacha alete airport yeyote yao afananishe na hizo terminals
reli zote za mizigo duniani zinakaa hivi...uende america,australia,japan ,argentina ni hivo hivo
Sasa tofauti ya izo na ya Kenya ya mizigo iko wapi surely?? Mbna watanzania wengine mpo tu emptyAcha uongo wewe, kwanini unajinyima elimu, google si hipo kwa nini unashindwa kusearch kabla ya kuandika uongo?
Hebu angalia hapa
View attachment 603684
Hii hapa ni ya Australia uliyotudanganya
View attachment 603687
Hii hapa ni ya mizigo, ni engine ya umeme
View attachment 603688
We mshenzi hakuna aliyekuita hapa kila mtu na mtazamo wake, ukiona haikufai kafie mbele huko you are no one here.Uzalendo kazi kweli yaani,hv ss watz haasa jamani inakuwaje kulazimisha kushindana na Kenya ilhali inajulikana wenzetu wako mbele kihatua.Kujitambua ni nusu ya kufanikiwa,tusipo kubali tukajipanga tutaishia kuja hapa na vipichapicha kila uchwao mara ooh mwendokasi,mara ooh miundombinu , mara TAZARA urfoot shirika linaendeshwa kwa hasara miaka nenda miaka rudi leo unaleta vipicha hapa kushindana na watu ndio kukuwa kiuchumi hukooo eeh, ndio usomi huooo eeh,ndio uzalendooo kuanzisha mada ambazo mnajuwa wazi tunashindana na aliyembele yetu,banchote kwelikweli nyie
We ni mmoja wa wale mnatarajia kuletewe bullet trains kubebea mizigo....mwaga ujinga wako wote I can't stoop that lowHizo ni nzuri kuliko zenu za abiria acha ukweli usemwe.