TAZARA (1960 tech) vs Kenyan SGR (2017 Tech)

Sasa tofauti ya izo na ya Kenya ya mizigo iko wapi surely?? Mbna watanzania wengine mpo tu empty
Tofauti hakuna...hawa wajinga wanadhani wataletewa bullet za mizigo....pia train za kenya za mizigo ni tofauti.
 
limbukeni ni babako, mamako pamoja na ww... LDC ni ugonjwa
kama ldc ni ugonjwa hata baba,mama,nyanya yako na ukoo wenu pia wanao kwa kuishia kujitamba ujinga tuuu na ukabila hata kwenu wapo absences og teachers in primary schools walimu hewa
 
Tofauti hakuna...hawa wajinga wanadhani wataletewa bullet za mizigo....pia train za kenya za mizigo ni tofauti.
Nani aliyekuambia anahitaji bullet trains za mizigo, ila ujue kwamba za abiria zitakuwa bullet trains, majirani zetu mnakaribishwa kuja kupanda bullet train hapa hapa Africa, sio lazima hadi muende Europe ndiyo muone au kusafiria bullet train, kwa sababu hapa East and Central Africa hazitokuwepo nchi nyengine yoyote itakayokua na bullet train zaidi ya Tanzania in our life time, you are humbly welcome
 
wanangoja bullet train zikasafirishe mizigo...lol! education system for these niggas is wanting...who doesn't know that freight trains are not known for their beauty??

tembea uone, electrified trains are not necessarily bullet trains. commuter trains are electrified but not blasting trains.
 
tembea uone, electrified trains are not necessarily bullet trains. commuter trains are electrified but not blasting trains.
But mizigo itasafirishwa mingi zaidi ya kwenu.....wait and see.
 
tembea uone, electrified trains are not necessarily bullet trains. commuter trains are electrified but not blasting trains.
Hio ya china-europe iko electrified?? Only a fool will believe being electrified means modern
 
Hio ya china-europe iko electrified?? Only a fool will believe being electrified means modern

unaishi ulimwengu gani weweee???
European trains are electrified, this is why their electricity produced/consumed is in terms of teraWATT. They had migrated since when (I don't know) from Mega to Tera.
 
We jamaa mchokozi sana,pamoja na kenya kuwa ya diesel bado mwendo ni wa kasi zaidi ya Kwetu.Terminal zao ni nzuri na zinavutia kwa kweli.Bado sijaona design ya stesheni zetu zile kubwa za PUGU na MOROGORO zitakavyokuwa pamoja na ya Dodoma pia.Mabasi ya Nairobi to Mombasa wanalia kwa kukosa abiria.
 
hahaaaaaa aiseee[emoji23][emoji23][emoji23] kuna mda Tanzania tujikubali sana aiseee hata kama tunarudi nyuma in other point
Ni kweli mzee, Magufuli ametuletea vitu vingi vya kutufanya tujione vidume hata kama vitu vingine vya kimaendeo bado tuko nyuma. Hakuna kitu kikubwa nitakachomkumbuka kwa namna asivyopenda vinchi fulani vinavyowashwawashwa na kutujaribu kwa kupiga marufuku uingizwaji nchi mwao wa bidhaa zetu za gesi. Wengine wangenywea oohh sijui dunia iko kwenye intelijensia ya uchumi, kwa nini yeye aanze halafu wewe usimmalize?
 
Ruto atakuwa kashachukua chake mapemaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…