TAZARA (1960 tech) vs Kenyan SGR (2017 Tech)

But mizigo itasafirishwa mingi zaidi ya kwenu.....wait and see.
Yamizigo ya kwetu ni 120km/hr while ya kwenu ni 80k/hr. Thats a big difference. Pia sisi ni electric while you are diesel meaning cost yetu itakuwa chini sana
 
Hamna reli kwa sasa unitag mkipata ***** kazi yenyu ni kuongelelea vitu haziko,
 
Stupid bongolalas think they'll get bullet trains to transport cargo on their SGR. lol, I await the disappointment on that day of awakening.
 
Hamna reli kwa sasa unitag mkipata ***** kazi yenyu ni kuongelelea vitu haziko,
Kwahi hata nyie hamna mafuta kwasasa, hamna LAPSET, hamna Lamu port, hamna Nairobi - Naivasha SGR?.
 
Yamizigo ya kwetu ni 120km/hr while ya kwenu ni 80k/hr. Thats a big difference. Pia sisi ni electric while you are diesel meaning cost yetu itakuwa chini sana
issue hapo mkuu, yaani mnaongelea vitu hewa!
 
Ziko under construction and we have photos to back them up.
Hivi hizo photo na video clip zinazoonyesha ujenzi wa SGR Tanzania, na ujenzi wa the biggest and ultra modern airport in EA, huzioni au umepanic kiasi kwamba huamini kama ni true videos from Tanzania?
 
hatuongelei renders na ngeli za tu-ki na tu-ta, tuwekee picha ya sleeper factory iki tengeza sleepers za tz-sgr au hata picha za initial stages za any bridge construction. aisee kuchimba mtaro na excavator sio kujenga sgr
 
Hivi hizo photo na video clip zinazoonyesha ujenzi wa SGR Tanzania, na ujenzi wa the biggest and ultra modern airport in EA, huzioni au umepanic kiasi kwamba huamini kama ni true videos from Tanzania?

Tunaongelea SGR na Sea Port unatuletea mambo ya airport ya passengers millioni mbili.
 
Leta picha kama izi wachana na zo video zenyu uchwara nairobi-naivasha
 
Tunaongelea SGR na Sea Port unatuletea mambo ya airport ya passengers millioni mbili.
Sasa kwenye SGR unataka nini kiongelewe?, hakuna ulinganisho wowote kati ya old modern, diesel and ugly locomotives with snail speed you can compare with bullet trains.
 
Hivi hizo photo na video clip zinazoonyesha ujenzi wa SGR Tanzania, na ujenzi wa the biggest and ultra modern airport in EA, huzioni au umepanic kiasi kwamba huamini kama ni true videos from Tanzania?
Lamu port
 
Sasa kwenye SGR unataka nini kiongelewe?, hakuna ulinganisho wowote kati ya old modern, diesel and ugly locomotives with snail speed you can compare with bullet trains.
Nyinyi hamna reli zaidi ya kuchimba vumbi ,miradi hewa ndio mnapenda kujadilia *****
 
Ipi ni bora kati ya video na pich za kawaida?, acha kupanic kaka.
Zaidi ya kuchimba vumbi hakuna kitu ingine ya maana mnaeza onyesha, kenya na Tanzania ni ka bingu na ardhi sisi tunajenga nyinyi mnajenga miradi hewa *****πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Alafu mtu anakuja kusema sisi wakenya ni tuta, tuki apana my friendπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ninyi na watu wa kukurupuka, project zote mlizofanya are not economical, highly inflated, poorly constructed and old model.
 
Kenya hata mkionyesha treni za gorofa bado hamuwezi kukamata soko la Uganda, Rwanda, Burundi Congo. wanatusubiri Watanzania na SGR yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…