TAZARA (1960 tech) vs Kenyan SGR (2017 Tech)

Ninyi na watu wa kukurupuka, project zote mlizofanya are not economical, highly inflated, poorly constructed and old model.
Leta picha tu moja ya reli yenyu ndio tujadili na wewe, as of now reli hamna GET THIS INTO YOUR THICK SKULL! !!!!!!!!!Sasa si wewe umetoka kusema lamu port hatuna, sgr nairobi naivasha hatuna. ....sasa wimbo umegeuka sasa haziko economica? Mama narudia sisi kenya hatuna za tuta, tuki izo ni zenyu.. . .
 
Leta picha tu moja railway track iyo yenyu ama t-beam tu moja alafu unitag, reli hewa hatuwezi jadilia kamwe *****
Sisi sio wapenda sifa kama ninyi, sisi ni HAPA KAZI TU. Andaa passport yako mwakani uje kusafiria the first bullet train in Africa. I repeat Passport not ID.
 
Sasa si wewe umetoka kusema lamu port hatuna, sgr nairobi naivasha hatuna. ....sasa wimbo umegeuka sasa haziko economica? Mama narudia sisi kenya hatuna za tuta, tuki izo ni zenyu.. . .
Wewe kichwa yako ni mbovu sana, uliposema kwamba hatuna SGR na miminikakuonyesha kwamba miradi iliyopo U/C hata ninyi ipo mingi tu, sasa kwanini our SGR iliyopo under construction unasema haupo?
 
Wewe kichwa yako ni mbovu sana, uliposema kwamba hatuna SGR na miminikakuonyesha kwamba miradi iliyopo U/C hata ninyi ipo mingi tu, sasa kwanini our SGR iliyopo under construction unasema haupo?
Wacha kujifanya zuzu sgr ya kenya inatumika kutoka mombasa nairob i wapi yenyu ?Picha? Oh tuki, tuta, ya nairobi naivasha nimekuonyesha picha actual work wewe za kwenyu ni kuchimba tu vumbi........ .sasa nakuitisha picha tu ya t-beam no wachana na iyo😀😀😀😀 saruji tu ikikorogwa ndo mje tujilinganishe...... Picha ndio hiii *****
 
Wewe kichwa yako ni mbovu sana, uliposema kwamba hatuna SGR na miminikakuonyesha kwamba miradi iliyopo U/C hata ninyi ipo mingi tu, sasa kwanini our SGR iliyopo under construction unasema haupo?
Nairobi naivasha ndio inamaliza una compare na yenyu kuchimba vumbi? Angalia stesheni zimeanza kujengwa i ya ronga hapa chini alafu jii hapa chini maimahiu bridge lafu japa ujenzi unaendelea a asa naomba picha kama izi dar-moro yenye mnashinda mkiiba yaani mradi wa hewa/vumbi
 
Lamu port nayo inatumika?, na Nairobi Naivasha nayo inatumika?, Mafuta huko Turkana yameanza kusafirishwa?, sasa tuseme hii miradi yote haipo kwasababu tu haijaanza kazi?.
 
Andaa passport next year uje uone kwa maraya kwanza bullet train inavyoonekana, sio hilo train lenu la zamani, sisi tulishakua na TAZARA better than your SGR since 1970.
 
Ulikuwa umesema lamu port hakuna ndio nkakuletea picha ,sasa ulikua umekurupuka ati nyi mko na sgr(hewa) mimi nakuletea yetu yenye inafanya kazi ikiwa ma mabehewa, muache huu upuzi wa kulinganisha miradi inafanya kazi na yenyewe ati ndio inaanza kujengwa *****.....
Lamu port nayo inatumika?, na Nairobi Naivasha nayo inatumika?, Mafuta huko Turkana yameanza kusafirishwa?, sasa tuseme hii miradi yote haipo kwasababu tu haijaanza kazi?.
 
Andaa passport next year uje uone kwa maraya kwanza bullet train inavyoonekana, sio hilo train lenu la zamani, sisi tulishakua na TAZARA better than your SGR since 1970.
Ila kwa sasa wimbo ni ule ule
 
TANZANIA:
Tanzania tunayo SGR tangu mwaka 1975,reli hii maarufu kwa jina la reli ya uhuru au TAZARA.Ina urefu wa km 1875 kutoka bandari ya Dar es salaam hadi Kapiri-Mposhi,Zambia.

MWENDOKASI WA INJINI ZAKE(speed)
Mwendokasi wake ni km120/saa.
Hii ndio SGR ya kwanza afrika mashariki na kati.Imepita maeneo ya pembezoni mwa nchi kama bonde la mto Rufiji(Rufiji basin) na bonde la Kilombero na kurahisisha usafirishaji.
Ijapokuwa haitumii umeme,ila inaweza kufanyiwa marekebisho kwa kuongezewa (electric rail bar) au "third rail" katikati yake.

NB:
Kwa reli hii unaweza fika hadi South Africa kupitia Lusaka,Zambia -Harare,Zimbabwe hadi Pretoria,South Africa.
Kuna treni ya kisasa ya watalii huwa inakuja karibu kila mwaka inatokea South Africa.
 
Jamani, mbona kama mishale ya saa ilisimama from 1960 to 2017.

Inawezekana kwa sehemu kubwa kuwa itikadi tuliochagua na aina ya serikali tunayoipenda ilisimamisha hiyo mishale ya saa.
 
Sisi sio wapenda sifa kama ninyi, sisi ni HAPA KAZI TU. Andaa passport yako mwakani uje kusafiria the first bullet train in Africa. I repeat Passport not ID.
Hapa kazi tu kwa mdomo.... Hampendi sifa mkiitishwa picha tu moja ya reli lakini unataka niandae passport nije nione bullettrain hewa aisee mibongo vituko😀😀😀😱😀😀😀😀😀😀
 
Hapa kazi tu kwa mdomo.... Hampendi sifa mkiitishwa picha tu moja ya reli lakini unataka niandae passport nije nione bullettrain hewa aisee mibongo vituko😀😀😀😱😀😀😀😀😀😀
Andaa passport kwasababu huku haturuhusu kutumia ID, otherwise utabaki kuona bullet train katika TV, kama unavyotazama BRT. HAPA KAZI TU.
 
Andaa passport kwasababu huku haturuhusu kutumia ID, otherwise utabaki kuona bullet train katika TV, kama unavyotazama BRT. HAPA KAZI TU.
Bullet train hewa kweli hapa kazii tu😀😀😀😀
 
hahahahaha Perfect comparison between our two countries.. on one side actual work is being done.. on the other.. its tuta tuta tuna 2022 😀😀😀😀
Alafu watakuja wakwambie hapa katu ,tuki, tuta blabla.. .....no video uchwara za vumbi ati ni bullettrain 😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…