TANZANIA:
Tanzania tunayo SGR tangu mwaka 1975,reli hii maarufu kwa jina la reli ya uhuru au TAZARA.Ina urefu wa km 1875 kutoka bandari ya Dar es salaam hadi Kapiri-Mposhi,Zambia.
MWENDOKASI WA INJINI ZAKE(speed)
Mwendokasi wake ni km120/saa.
Hii ndio SGR ya kwanza afrika mashariki na kati.Imepita maeneo ya pembezoni mwa nchi kama bonde la mto Rufiji(Rufiji basin) na bonde la Kilombero na kurahisisha usafirishaji.
Ijapokuwa haitumii umeme,ila inaweza kufanyiwa marekebisho kwa kuongezewa (electric rail bar) au "third rail" katikati yake.
NB:
Kwa reli hii unaweza fika hadi South Africa kupitia Lusaka,Zambia -Harare,Zimbabwe hadi Pretoria,South Africa.
Kuna treni ya kisasa ya watalii huwa inakuja karibu kila mwaka inatokea South Africa.