A
Anonymous
Guest
Kwa nini wasiwe watangaza kwenye mitandao ili kuwapunguzia gharama wasafiri. Mtu anakuja na mizigo na watoto akiwa ametokea Bunju kisha anakuta tangazo kuwa safari ni tarehe ijayo na si iliyopangwa hapo awali.
Hapo kwenye picha ilikuwa TAZARA mnamo Agosti 7, 2026 watu wakiwa wamekaa kwaajili ya kujua hatima ya safari.
Pia soma ~ TAZARA yatangaza mabadiliko ya Muda katika Uendeshaji wa Treni Za Abiria, 26 Agosti 2026