TAZARA flyover soft opening

Wakenya wanaumia sana kimoyo moyo wakiona hizi hatua kubwa tunazopiga. Hawaamini wanatamani iwe ndoto.
 
Alafu CCM watawaambia vilaza hii ni the only flyover in East and Central Africa....daraja ya Mita Mia Tano...
 
Shukrani kwa Serikali ya Japan kupitia JICA kwa kugharamia ujenzi huu kwa asilimia 100%.
 
Kikosi kazi cha nyumbu na mkarai aka wazee wa kupinga kila kitu, nime zoom zijaona nyumbu wala karai hata moja kwenye huu uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…