TAZARA flyover soft opening

TAZARA flyover soft opening

Vivaaa JPM 👍🏼 💪🏼 the visionary Leader
Vivaaa Tanzania 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 the unforgettable
 
Kwa kuongezea wapo vilaza watakao hoji mbona kuna nafasi hapo katikati
Wajue hapo kuna njia ya BRT yaani Natumain litainuliwa jingine maalum kwa BRT
Fly over zetu nizaviwango na Kisasa zaid kwa matumizi ya baadae
Sio kuweka BRT ONLY
 
Nasubiri baada ya wiki nihesabu ajali ngapi zimetokea. Madereva wengi wapo rough sana
 
ubungo ishakamilika ama bado
Hii ni leo
IMG_20180915_160059_6.jpg
IMG_20180915_160405_6.jpg
 
Naiona Tz baada ya 30years tutakuwa mbali sana viva JPM
Kanyaga twende
 
Back
Top Bottom