Tazizo la haja kubwa kuwa ngumu

MankaM

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
9,448
Reaction score
3,065
Habarin wana jf naombeni nisaidiwe anaejua dawa ya hili tatizo....
Nina tatizo hili mwezi sasa unaisha napata shida sana ktk utokaji wa haja kubwa yani choo huwa kigumu sana nilipoenda hosptal nikapewa dawa na kuambiwa niwe nakunywa maji mengi na kula matunda kama ndizi papai na maembe nimekuwa nikifanya hivo ila tatizo haliishi asa nakua sielewi nin hasa au labda kuna tatizo jingine ambalo linapelekea hiyo hali nahitaji msaada kwa anaeelewa tiba ya hili tatizo
 
Chakula bora na maji mengi ni muhimu, lakini ukiongezea mazoezi pia nadhani tatizo lako litapata ufumbuzi. Mimi nilikuwa na shida kama hiyo - siku hizi hutembea kwa nguvu karibu kwa saa 1 kila siku na shida haipo tena. Ni wazi kuna mazoezi ya aina nyingi - chaguo ni lako, lakini jaribu.
 
Chakula bora kinaliwa vilivyo asa sijiu ishu ni nin tena
 


Mkuu MankaM

Pole kwa tatizo lako. Hii inaashiria kwamba unatatizo la kukosa choo (Constipation) amabacho ni kiashiria cha utumbo mpana kuwa si salama, hivyo kutofanya kazi vizuri.

Hii hutokana na aina ya vyakula tunavyokula na aina ya vinywaji tunavyokunywa. Ulaji wa ngano kwa wingi i.e chapati, maandazi, half cake, n.k na unywaji wa pombe ambayo nayo ina kiasi kikubwa cha ngano ijulikanayo kama shayiri, kutokula matunda na mbogamboga zenye nyuzinyuzi (utembwe - fibers), na kutokunywa maji kwa wingi walau lita 3 kwa siku, hupelekea tatizo hilo

Nakushauri utumie VIRUTUBISHO vifuatavyo: SHAKE OFF PHYTO FIBER NA SPLINA LIQUID CHLOROPHYLL kutibu tatizo lako. usipuuzie. tatizo hili hupelekea kansa ya utumbo mpana (colon canser), kutokwa na nyama sehemu ya haja kubwa (hemmorroids), Unene ulozidi, Mshtuko wa moyo, Kiarusi, Magonjwa ya figo, Kisukali, Presha ya juu, Magonjwa ya ngozi, Maumivu ya kichwa, Kuvuligika kwa Mpangilio wa homoni na hufikia kiasi cha kufunga choo kabisa hivyo kulazimika kupigwa bomba.

SHAKE OFF Phyto Fiber

Ni kinywaji kinachotokana na virutubisho asilia (plant fibers, roselle, oats, gacinia cambogia, na inulin - sukari ya matunda) kilicho na nguvu ya kusafisha kabisa na kuondoa mgandamano wote wa taka ktk utumbo mpana ikiuacha ukiwa msafi na wenye afya zaidi.

Faida za Shake Off

  • Imetengenezwa kwa virutubisho asilia, haina madhala kwa mtumiaji.
  • Ni njia ya haraka, salama, uhakika na nafuu ya kuondoa mgandamano wa taka tumboni hivyo kukupa kinga ya saratani ya utumbo mpana(colon cancer) na madhala mengine kiafya.(coprostasis)
  • Inakupa matokeo chanya masaa 8 - 12 tu baada ya kutumia.
  • Inapunguza uzito uliozidi na mgandamano wa mafuta kwenye mishipa ya damu (cholesterol)
  • Inaondoa tatizo la kukosa choo (Constipation) na kusaidia ukuaji wa baktelia wazuri tumboni.

2. Splina Liquid Chlorophyll

Imetengenezwa kutokana na mmea wa “Mulberry ” unaotambulika kama chanzo bora cha “Chlorophyll”.

Mlo wa kila siku unatakiwa uwe na Asidi 20% and Alkali 80% ili kuuweka mwili katika afya”. - Kutokana na Prof. Ragnar Berg, Mwanalishe wa Marekani.

Kijiko Kimoja cha Chakula cha Splina Liquid Chlorophyll ni sawa na Kilogram Moja ya Mbogamboga (Mboga za Majani)

Ni vyakula vipi vyenye Asidi/Alkali

Vyakula asid:
Nyama, Vyakula vya baharini, nafaka, sukari, mafuta, na Vyakula vya makopo.

Vyakula vya Alkali:
Mboga za majani (Mbogamboga), Matunda, na Vyakula vya Mizizi (Karoti, Mihogo, Viazi, n.k)

“Splina” Liquid Chlorophyll is RICH with the following nutrients:

Zinc - helps in cell division and cell growth for faster wound healing.

Selenium - Provides protection from the toxic effects of heavy metals and other substances

Vitamin E - Nourishes the skin and keeps the brain active.

Vitamin C - Promotes healthy teeth and gums. Increases alertness and possesses anti-cancer properties.

Vitamin A - Helps in the formation and maintenance of healthy teeth, skeletal and soft tissue, mucous
membrane and skin. Promotes good vision. Strengthens the heart function.

Protein - Helps in growth and development especially for children and adolescents. Maintains the cell,
muscles, tendons and ligaments.

Biotin – essential for the metabolism of proteins and carbohydrates.

Folic Acid – Acts as a co-enzyme with vitamin B12 and Vitamin C in the breakdown and synthesis of
hormones and cholesterol.

Pantothenic – Essential in the synthesis of Acid hormones and cholesterol

Calcium – important for growth and reproduction of human body, maintains also healthy teeth and
bones.

Chromium – Stimulates fatty acid and cholesterol synthesis and an activator of of several enzymes.

Phosphorous – Assists in the contraction of muscles in functioning of kidneys, maintaining of regularity
of heartbeat

Potassium – It is necessary for muscle building and normal body growth.

Magnesium – Helps in Muscle relaxation and contraction

Iron – Essential to the formation of haemoglobin which carries the oxygen in the blood and muscles.

Faida za kutumia “Splina Liquid Chlorophyll”
1. Inasaidia kuhuisha seli na kuongeza kinga.
2. Inaondoa harufu mbaya mwilini na sores.
3. Inaondoa tatizo la mmeng’enyo wa chakula.
4. Inasafisha Ini kwa kuondoa sumu kwenye Ini
5. Inaondoa kwa haraka sumu zilizo ingia mwilini
kupitia dawa za kuua wadudu.
6. Inaweka uwiano sahihi wa tindikali na alkali mwilini.
7. Inaongeza chembe hai nyekundu za damu
8. Inaaondoa mikunyanzi ya uzee na kupunguza kasi ya kuzeeka.
9. Inapunguza uzito kwa haraka.


Nani anatakiwa kutumia “Splina Liquid Chlorophyll”

  • Watu wenye matatizo ya moyo
  • Watu wanao toka jasho sana
  • Watu wenye matatizo ya Ini
  • Watu wenye matatizo ya upumuaji (Pumu,TB n.k)
  • Watu wenye matatizo ya mifupa na viungo
  • Watu wenye upungufu wa damu
  • Watu wenye ngozi iliyo pauka
  • Watu wenye matatizo ya uzito (uzito uliozidi au uzito pungufu)
  • Watumiaji wa pombe na sigara
  • Watu wasiopenda kula mboga za majani
  • Wanaosumbuliwa na tatizo la kukosa choo
  • Wanopata maumivu wakati wa hedhi
  • Wenye kisukari,vidonda vya tumbo na vidonda sugu.
  • Watu wanao ugua mafua mara kwa mara
  • Watu wenye matatizo ya koo (kukereketa n.k)
  • Watu wanaotoa harufu mbaya mwilini na mdomoni
  • Watu walio bize sana na wenye msongo wa mawazo
  • Watu wanaopenda kula vyakula vya harakaharaka (chips, burger, pizza n.k)


Naamini maelezo haya yatakuwa msaada kwako na jamii yako inayokuzunguka pamoja na Wanajamvi kwa ujumla.

Kwa taarifa zaidi, piga: 0713 366 473 or 0767 277 223.

KARIBUNI. FEEL LOVE NOW!
 
Tumia vitu hivi katika mlo wako wa siku moja then uje kutoa majibu.

1.Asubuhi-Nunua Brown Bread kunywa na chai,Then Baada ya lisaa na nusu piga maji nusu lita,then baada ya saa piga nusu lita nyingine

2.Mchana-Piga Ugali Dona na Kabeji/Spinach kama mboga,then shushia na Parachichi(tunda),baada ya lisaa piga maji nusu lita,then baada ya lisaa jingine piga maji nusu lita.

3.Jioni---Fanya Mazoezi ya Kutembea kama kilometer 4(yani mbili kwenda mbili Kurudi)

4.Usiku(19:30-20:00)--Kula Miogo ya kukaanga kama vipande vi3 na Juice ya ukwaju.


Usisahau Kuleta feedback hapa jamvini
 
FAIDA ZA JUISI YA UKWAJU.



[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Tunda la Ukwaju.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Tunda la ukwaju ni tunda lenye faida nyingi sana kwa afya ya mwanadamu. Tunda hili huweza kutumika kutengeneza juisi ambayo matumizi yake yana faida kubwa sana katika afya ya mwili wa mwanadamu.





[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Juisi ya Ukwaju.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

NAMNA YA KUTENGENEZA JUISI YA UKWAJU.

Nunua ukwaju wako, ukwaju unapatikana kwa wingi sana masokoni na kwenye supermarkets

  • andaa maji kwenye dishi na uoshe kidogo tuu
  • baada ya kuuosha chukua ukwaju wako weka kwenye sufuria yenye maji ya saizi na injika jikoni
  • uache uchemke kwa dakika 10/15 ili uuwe vijidudu
  • ipua ukwaju wako jikoni na uache kwa muda upoe
  • andaa maji yako masafi na chujio ili uweze kuchuja juice yako kwa uangalifu zaidi ili upate juice yenyewe
  • weka sukari kwa kiasi unachopendelea
  • pia ili kupunguza ukali unaweza ukaweka hiliki au vanila ili kupata taste
  • weka juice yako kwenye fridge ili ipoe tayari kwa kunywa

FAIDA YA JUISI YA UKWAJU.


  1. Chanzo kizuri cha viuasumu mwilini 'antioxidants' ambavyo huzuia Saratani (cancer)
  2. Chanzo cha Vitamini B na C vile vile "carotentes"
  3. Hushusha joto la mwili na kuondosha homa, hasa homa ya malaria na homa ya matumbo
  4. Huulinda mwili dhidi ya mafua na kero za mafua kooni
  5. Husaidia myeyusho na mmengenyo wa chakula na kuondosha kuvimbiwa
  6. Husaidia kutibu matatizo ya nyongo (bile disorders)
  7. Husaidia kurahisisha choo (laxative)
  8. Husaidia kupunguza wingi wa lehemu (cholesterol) na hivyo kuimarisha moyo
  9. Husaidia ngozi kuwa nyororo, vile vile husaidia ngozi inayopona baada ya kuungua au yenye vidonda
  10. Husaidia kuua minyoo tumboni (kwa watoto wadogo)

NB: Ikiwa ukwaju na asali havikudhuru, basi changanya hivyo viwili ili kupata faida maradufu!.

Mkuu.@
MankaM Kunywa Juisi ya Ukwaju matatizo yako yataondoka na uwe pia unakunywa Maji ya Uvuguvgu kila siku asubuhi kabla ya kula kitu glasi 3, mchana labla ya kula kitu Glasi 2 za maji ya Uvuguvugu. Na usiku glasi 2 kabla ya kula kitu. Na wakati wa kulala kunywa maji ya Uvuguvugu glasi 1 kisha ndio ulale fanya hivyo kila siku utapona inshallah. Tumia Dawa yangu kisha njoo hapa unipe Feedback

chanzo. MziziMkavu
 
Nilikuwa Na Tatizo Kama Hilo Mkuu Lkn nimelitatua kwa njia tatu: .kula ugali usiokobolewa . kunywa maji mengi .usisahau kufanya mazoezi
 

asantee kwa msaada wako doctor
 
Nashukurun wote mlotoa mchango wenu wa hali ili tu niweze inusuru hii afya maana daaa!! Naona magonjwa yananinyemelea, unaeza kuona ni kitu cha kawaida kumbe ndo unaishia hivyo asanteni nyote asa hapa naanza matibatu kulingana na mlivonishaur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…