Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
TBA ni kwamba hamna hela au hamtaki kumalizia jengo jipya la Idara ya Maji Mtwara? Mnakwama wapi ndugu zangu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna soda na bia. Unatumia nini ?Maji yenyewe yapo?
Punguza jasho la puru.Kuna soda na bia. Unatumia nini ?
Puru, hahahaaPunguza jasho la puru.
Wapi imeandikwa kua TBA ndiyo mkandarasi kwenye hiyo project?TBA ni kwamba hamna hela au hamtaki kumalizia jengo jipya la Idara ya Maji Mtwara? Mnakwama wapi ndugu zangu?
Najua wewe ni mfanyakazi wa TBA Mtwara sasa nyie endeleeni na moyo huo huo, msisahau kuanzisha miradi ya kujikimu maana TBA inavunjwa soonWapi imeandikwa kua TBA ndiyo mkandarasi kwenye hiyo project?
Wale wa SDA wamekufa njaa? acha kutka nje ya mada. Nimekuuliza wapi inasema kua TBA ndiyo wenye mamlaka ya kutoa pesa ya kumalizia mradi?Najua wewe ni mfanyakazi wa TBA Mtwara sasa nyie endeleeni na moyo huo huo, msisahau kuanzisha miradi ya kujikimu maana TBA inavunjwa soon
Tba Ni real estate management sio civil engineer, tufufue shirika letu la meccoTBA ni kwamba hamna hela au hamtaki kumalizia jengo jipya la Idara ya Maji Mtwara? Mnakwama wapi ndugu zangu?
Unauza kiasi gani ?Punguza jasho la puru.