Tofautisha mambo ya Familia na Taifa.Watanzania ni hodari wa kukebehi vya kwao.....ukimuuliza yeye kaisaidiaje familia yake achilia mbali taifa utamwonea huruma!
haya husiani...Watanzania ni hodari wa kukebehi vya kwao.....ukimuuliza yeye kaisaidiaje familia yake achilia mbali taifa utamwonea huruma!
Kwa jinsi walivyo onyesha utalaam wao wa majengo , mamlaka zifikilie kuwapa miundo mbinu mikubwa hasa ile inayo hitaji expansion Joint. Na moja ya miradi hiyo ni daraja LA ubungo ambalo wamepewa wachina ambao hatuna hakika kama wanajua mambo haya ya expansion joint.
View attachment 645040
Hakika itapendeza.
Kaukweli kabisa but sijui kama atakuelewaWatanzania ni hodari wa kukebehi vya kwao.....ukimuuliza yeye kaisaidiaje familia yake achilia mbali taifa utamwonea huruma!
Watanzania ni hodari wa kukebehi vya kwao.....ukimuuliza yeye kaisaidiaje familia yake achilia mbali taifa utamwonea huruma!
Unahitaji watu washangilie na kusifia huku wanaishi kwenye majengo yanayo hatarisha maisha yao?Kaukweli kabisa but sijui kama atakuelewa
Kukosolewa ukikosea inapendeza zaidii haijalishi kabila au taifa fkria kdogo kama utashindwa kumkosoa kwa kujali utaifa huisi kama unampa nafasi ya kuendelea kukosea zaid I'm the visitor[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Watanzania ni hodari wa kukebehi vya kwao.....ukimuuliza yeye kaisaidiaje familia yake achilia mbali taifa utamwonea huruma!
I think you got me wrongUnahitaji watu washangilie na kusifia huku wanaishi kwenye majengo yanayo hatarisha maisha yao?