TBA wapewa wakabidhiwe ujenzi wa daraja LA ubungo..

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Kwa jinsi walivyo onyesha utalaam wao wa majengo , mamlaka zifikilie kuwapa miundo mbinu mikubwa hasa ile inayo hitaji expansion Joint. Na moja ya miradi hiyo ni daraja LA ubungo ambalo wamepewa wachina ambao hatuna hakika kama wanajua mambo haya ya expansion joint.
IMG-20171205-WA0001.jpg

Hakika itapendeza.
 
Watanzania ni hodari wa kukebehi vya kwao.....ukimuuliza yeye kaisaidiaje familia yake achilia mbali taifa utamwonea huruma!
 
haya husiani...
mbona mengine haya pasuki!!!
apo
ni uzembe flani ulifanyika thus y yametokea hayo,
In Civil engineering tunasema
"if en only if you don cheaT, na ukafata hatua zote za ujenzi, then hutakutana na ayo yaliyo kwenye picha..."
Kwa jinsi walivyo onyesha utalaam wao wa majengo , mamlaka zifikilie kuwapa miundo mbinu mikubwa hasa ile inayo hitaji expansion Joint. Na moja ya miradi hiyo ni daraja LA ubungo ambalo wamepewa wachina ambao hatuna hakika kama wanajua mambo haya ya expansion joint.
View attachment 645040
Hakika itapendeza.
 
Watanzania ni hodari wa kukebehi vya kwao.....ukimuuliza yeye kaisaidiaje familia yake achilia mbali taifa utamwonea huruma!

Nalo lakusifia hilo shuleni walienda kusomea vitu gani? Ujenz wa nyumba tu unatusumbua tutaweza kubuni vitu vikubwa hasa kwenye huu uchumi wa viwanda?
 
Watanzania ni hodari wa kukebehi vya kwao.....ukimuuliza yeye kaisaidiaje familia yake achilia mbali taifa utamwonea huruma!
Kukosolewa ukikosea inapendeza zaidii haijalishi kabila au taifa fkria kdogo kama utashindwa kumkosoa kwa kujali utaifa huisi kama unampa nafasi ya kuendelea kukosea zaid I'm the visitor[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Back
Top Bottom