TBC1 ni kwanini mnaandaa vipindi ambavyo vinaipendelea CCM tu yaani kualika watu wenye mtazamo mmoja tu yaani kura ya ndio kwa katiba pendekezwa hii si haki kama mkiendelea kurusha vingelee ndani ya katiba hapo sawa lakini mkiendelea kuandaa vipindi vya kijadili basi muite pande zote mbili zzinatoa hoja kuhusu hapana na zinazotoa hoja kuhusu ndio ile tujue kwanini huyu aseme ndio na huyu aseme hapana alafu tupime lakini ikiendelea hivi basi tuambiwe TBC si mali ya umma ni mali ya akina chenge na wenzake nawaomba mweke uwiano hili jambo si la upande mmoja.
Piga vita watendaji wa serikali wanaoshikiwa akili na wanasiasa na kusahau taaluma zao.
Piga vita watendaji wa serikali wanaoshikiwa akili na wanasiasa na kusahau taaluma zao.