TBC 1 kuonyesha mechi Samatha ndani

TBC 1 kuonyesha mechi Samatha ndani

njeeseka

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
1,373
Reaction score
983
Leo nahic nitafurahi kuangalia mechi kupitia TBC1. Nawapongeza kwa kutuletea mechi ambayo natarajia kumuona mchezaji mahiri Mbwana Samata. Kwa hili ahsante Tbc1. Tv nyingine ziongeze juhudi kutupa uhondo wa michezo sisi ambao hatuwezi bando za EPL..
 
Nchi ya ajabu sana hii,mechi za kwetu zenye masilahi hamuonyeshi,TBCCM bwana?
 
Hizi tv zinatunyima raha wakati mwingine hiv hamna kitengo cha kuangalia mahitaji ya watazamaji?
 
Leo nahic nitafurahi kuangalia mechi kupitia TBC1. Nawapongeza kwa kutuletea mechi ambayo natarajia kumuona mchezaji mahiri Mbwana Samata. Kwa hili ahsante Tbc1. Tv nyingine ziongeze juhudi kutupa uhondo wa michezo sisi ambao hatuwezi bando za EPL..

Inaanza SAA ngapi na wanacheza na timu gani na wapi?
 
Dah kheri maana bundle ya DSTV imekata hali ngumu
 
TBC ni wapuuzi karibia siku tano wanapiga prom.kuwa wataonyesha mechi ya fainali,alafu awaomyeshi ,na hawatoi taarifa ,ni upuuz wa hali ya juu
 
Tbc hovyo sana eti dkk 87 ndo wanajiunga. Tp mazembe 2-0
 
Twajivunia vya wenzetu...hizo ni za Congo ...
 
Back
Top Bottom