njeeseka
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 1,373
- 983
Leo nahic nitafurahi kuangalia mechi kupitia TBC1. Nawapongeza kwa kutuletea mechi ambayo natarajia kumuona mchezaji mahiri Mbwana Samata. Kwa hili ahsante Tbc1. Tv nyingine ziongeze juhudi kutupa uhondo wa michezo sisi ambao hatuwezi bando za EPL..