Leo nahic nitafurahi kuangalia mechi kupitia TBC1. Nawapongeza kwa kutuletea mechi ambayo natarajia kumuona mchezaji mahiri Mbwana Samata. Kwa hili ahsante Tbc1. Tv nyingine ziongeze juhudi kutupa uhondo wa michezo sisi ambao hatuwezi bando za EPL..
Saa kumi na nusu
nani na nani
Dah kheri maana bundle ya DSTV imekata hali ngumu
Hii ndiyo TBC jamani
Hongera Samatta