Unafikiri ABBAS TARIMBA kuwa kuwa mkurugenzi wa kampuni ya Kamari ndio ina justify uhalali wa Kamari?Hawakuwa na copyrights tu mkuu ya kuipeperusha mechi hewani na Sportpesa wanafanya marketing ya kampuni yao bado haijakuwa kubwa sana na haijawafikia wengi.
Wangerusha Azam wasingewafikia watu wenye Startimes, Zuku n.k
Kumbuka mkurugenzi wa sportpesa ni muislamu Abbas Tarimba mtu wa masoko ambaye namkubali sana ni Kelvin Twisa anajua kucheza na hizi mambo
Nyama ya nguruwe sili ila mchuzi wake nakunywaa!Sportpesa ni mchezo wa kamari na Azam huwa wanajinasibu kutofungamana na wacheza kamari kwa sababu hiyo ni dhambi kwa mujibu wa imani yao. Hujagundua tu hata yale mashindano ya kila mwaka ya sportpesa huwa hawaoneshi kupitia channel zao isipokuwa zile tu chache za kwenye decoder zao.
kivipi mkuu??Azam Tv na Sportpesa (kampuni za kamari) ni maji na mafuta.
[emoji848][emoji848]Mbona Porno mnatazama bila sauti na mnaelewa.
Hapana umeninukuu vibaya kiongozi, Viatu vya chura! Kaandika kwamba Azam tv na kampuni za kamari ni maji na mafuta ndio nikamjibu kwa kumtajia mkurugenzi wa sportpesa Tanzania ni nani na kumpa maeleze kedede.Unafikiri ABBAS TARIMBA kuwa kuwa mkurugenzi wa kampuni ya Kamari ndio ina justify uhalali wa Kamari?
Kamari ni Haraam hata kama kiongozi wake atakuwa muislaam.
Sawa Mkuu, nina hamu ya kujua pia je miji ya Abu Dhabi, Doha, Oman, Dubai nayo imeendelea kwa KamarHapana umeninukuu vibaya kiongozi, Viatu vya chura! Kaandika kwamba Azam tv na kampuni za kamari ni maji na mafuta ndio nikamjibu kwa kumtajia mkurugenzi wa sportpesa Tanzania ni nani na kumpa maeleze kedede.
Dunia ya sasa Bila kamari hakuna maendeleo, Jimbo la Las Vegas ambalo lina maendeleo kuzidi Sub saharan countries zote na nchi kama 15 za Asia hawafikii maendeleo yake JIMBO HILO LIMEJENGWA NA WAKAMARIA yani wanacheza kamari kama Mbwa wakiume 6 wanavyombaka mbwa wakike mmoja hapumziki na ikibidi mpaka wahakikishe kafa
Kiongozi, ni channel ya utalii. Nadhani walizingatia kuwa Sevilla walileta watalii na kuacha wachezaji wao kule Spain.Hivi kwa nini haikuonyeshwa Azam TV. Niliiangalia kupitia Tanzania channel ile ya wanyama. Kwa kweli haikuonekana vizuri.
Hapana, na haina maendeleo kama yaliyopo Las Vegas.Sawa Mkuu, nina hamu ya kujua pia je miji ya Abu Dhabi, Doha, Oman, Dubai nayo imeendelea kwa Kamar
Hahaha dah we jamaaMbona Porno mnatazama bila sauti na mnaelewa.
Mimi.Hahaha dah we jamaa
Hpn mmMimi.
Imeendelea kwa ajili ya mafuta ambayo wakati mwingine wanatupandishia bei au kugoma kutuuzia ili bei ipande kitu ambacho ni haram.Sawa Mkuu, nina hamu ya kujua pia je miji ya Abu Dhabi, Doha, Oman, Dubai nayo imeendelea kwa Kamar
Sasa Bidhaa nizalishe Mimi, bei upange wewe, kwanini mara nyingine nisigome?Imeendelea kwa ajili ya mafuta ambayo wakati mwingine wanatupandishia bei au kugoma kutuuzia ili bei ipande kitu ambacho ni haram.
Dstv walionesha LiveHabari naomba kujua kwa wafwatiliaji wa mpira wa miguu Simba na Sevilla Jana kwanini TV Jana haizikuwa na mtangazaji kama game zingine,tumebishana sana leo nawengi bila majibu kupata,wengine wakisema mkataba haukuruhusu mtangazaji kuwepo na mengine mengi, tujuzane kwa wanaojua ASANTE