TBC 3 mlichotufanyia wakati wa mechi ya Simba na Sevilla ni uhuni na ubabaishaji

TBC 3 mlichotufanyia wakati wa mechi ya Simba na Sevilla ni uhuni na ubabaishaji

Hawakuwa na copyrights tu mkuu ya kuipeperusha mechi hewani na Sportpesa wanafanya marketing ya kampuni yao bado haijakuwa kubwa sana na haijawafikia wengi.

Wangerusha Azam wasingewafikia watu wenye Startimes, Zuku n.k
Kumbuka mkurugenzi wa sportpesa ni muislamu Abbas Tarimba mtu wa masoko ambaye namkubali sana ni Kelvin Twisa anajua kucheza na hizi mambo
Unafikiri ABBAS TARIMBA kuwa kuwa mkurugenzi wa kampuni ya Kamari ndio ina justify uhalali wa Kamari?
Kamari ni Haraam hata kama kiongozi wake atakuwa muislaam.
 
Sportpesa ni mchezo wa kamari na Azam huwa wanajinasibu kutofungamana na wacheza kamari kwa sababu hiyo ni dhambi kwa mujibu wa imani yao. Hujagundua tu hata yale mashindano ya kila mwaka ya sportpesa huwa hawaoneshi kupitia channel zao isipokuwa zile tu chache za kwenye decoder zao.
Nyama ya nguruwe sili ila mchuzi wake nakunywaa!
 
Mbona mechi za Simba wanaoneaha na Simba kadhaminiwa na Sportpesa
 
kama kweli hiyo ndo sababu, basi nitawafananisha na mchezaji wa Newcastle Papy Cisse miaka ya nyuma kidogo.

alikataa kuvaa jezi ambayo wazamini wake ni kampuni ya kamari wakati huo huo ule mshahara anaolipwa unatokana na mikataba timu yake iliyoingia na hiyo kampuni ya kamari.
 
Mechi ilikuwa live kupitia Dstv ss9 lakini matangazo yake ni English
 
Unafikiri ABBAS TARIMBA kuwa kuwa mkurugenzi wa kampuni ya Kamari ndio ina justify uhalali wa Kamari?
Kamari ni Haraam hata kama kiongozi wake atakuwa muislaam.
Hapana umeninukuu vibaya kiongozi, Viatu vya chura! Kaandika kwamba Azam tv na kampuni za kamari ni maji na mafuta ndio nikamjibu kwa kumtajia mkurugenzi wa sportpesa Tanzania ni nani na kumpa maeleze kedede.

Dunia ya sasa Bila kamari hakuna maendeleo, Jimbo la Las Vegas ambalo lina maendeleo kuzidi Sub saharan countries zote na nchi kama 15 za Asia hawafikii maendeleo yake JIMBO HILO LIMEJENGWA NA WAKAMARIA yani wanacheza kamari kama Mbwa wakiume 6 wanavyombaka mbwa wakike mmoja hapumziki na ikibidi mpaka wahakikishe kafa
 
Sawa Mkuu, nina hamu ya kujua pia je miji ya Abu Dhabi, Doha, Oman, Dubai nayo imeendelea kwa Kamar
 
Hivi kwa nini haikuonyeshwa Azam TV. Niliiangalia kupitia Tanzania channel ile ya wanyama. Kwa kweli haikuonekana vizuri.
Kiongozi, ni channel ya utalii. Nadhani walizingatia kuwa Sevilla walileta watalii na kuacha wachezaji wao kule Spain.
 
Sawa Mkuu, nina hamu ya kujua pia je miji ya Abu Dhabi, Doha, Oman, Dubai nayo imeendelea kwa Kamar
Hapana, na haina maendeleo kama yaliyopo Las Vegas.

Las Vegas ni habari nyingine kaka sipasifii kishabiki ila huu ndio ukweli.
 
Sawa Mkuu, nina hamu ya kujua pia je miji ya Abu Dhabi, Doha, Oman, Dubai nayo imeendelea kwa Kamar
Imeendelea kwa ajili ya mafuta ambayo wakati mwingine wanatupandishia bei au kugoma kutuuzia ili bei ipande kitu ambacho ni haram.
 
Imeendelea kwa ajili ya mafuta ambayo wakati mwingine wanatupandishia bei au kugoma kutuuzia ili bei ipande kitu ambacho ni haram.
Sasa Bidhaa nizalishe Mimi, bei upange wewe, kwanini mara nyingine nisigome?
 
Mpaka wakasababisha sevila wasawazishe goli na kumgonga paka
 
Habari naomba kujua kwa wafwatiliaji wa mpira wa miguu Simba na Sevilla Jana kwanini TV Jana haizikuwa na mtangazaji kama game zingine,tumebishana sana leo nawengi bila majibu kupata,wengine wakisema mkataba haukuruhusu mtangazaji kuwepo na mengine mengi, tujuzane kwa wanaojua ASANTE
Dstv walionesha Live
 
Back
Top Bottom