Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Benki ya NBC imedhamini live miaka 40 ya shririka la World Vision Tanzania, Mhe Rais yupo Bagamoyo wanarusha live pia, sasa najiuliza kwann hawa TBC wasingesema kwa muda huo hawataweza kurusha kipindi cha World vision live, sasa inakuwa wakate huku waunganishe huku watuonyeshe badae wakate huku waunganishe huku hii maana yake nn sio tamaa kweli, nani anayeweza kulipia kipindi chake halaf wasirushe laivu moja kwa moja.
Acheni tamaa TBC
Acheni tamaa TBC