TBC acheni tamaa hamuwezi kurusha vipindi viwili live kwa mara moja TV moja

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,391
Reaction score
3,849
Benki ya NBC imedhamini live miaka 40 ya shririka la World Vision Tanzania, Mhe Rais yupo Bagamoyo wanarusha live pia, sasa najiuliza kwann hawa TBC wasingesema kwa muda huo hawataweza kurusha kipindi cha World vision live, sasa inakuwa wakate huku waunganishe huku watuonyeshe badae wakate huku waunganishe huku hii maana yake nn sio tamaa kweli, nani anayeweza kulipia kipindi chake halaf wasirushe laivu moja kwa moja.

Acheni tamaa TBC
 
Na kwenye matangazo ya mpira kwa radio tutajionea mengi, si wameshinda tenda hawa!
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mukuu unaangalia tbc[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Inakuwaje NBC wakawachagua TBC? Shauri zao
 
Tamaa ya mzee fisi hahaha

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…