TBC badala ya kuonesha mchezo wa Robo Fainali kati ya Ufaransa na England, wao wapo na kipindi cha pambe

TBC badala ya kuonesha mchezo wa Robo Fainali kati ya Ufaransa na England, wao wapo na kipindi cha pambe

Frustration

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,134
Reaction score
4,124
Hawa TBC sio watu wa michezo hawa ni wa kupamba na kusifia serikali na ndio sehemu pekee waliyofanikiwa hadi sasa.

Tamaa na ukiritimba imepelekea kutuhadaa watanzania kuwa wataonyesha mechi za kombe la dunia cha ajabu game inaonyeshwa moja moja tena wakati ambao umeme haupo.

TBC ni wahuni tu na wapo kimbungi mtonyo tu.
 
Hawa tbc sio watu wa michezo hawa ni wa kupamba na kusifia serikali na ndio sehemu pekee waliyofanikiwa hadi sasa. Tamaa na ukiritimba imepelekea kutuhadaa watanzania kuwa wataonyesha mechi za kombe la dunia cha ajabu game inaonyeshwa moja moja tena wakati ambao umeme haupo.
,tbc ni wahuni tu na wapo kimbungi mtonyo tu.

Wacha majungu Mambo yote DSTV
 
Nunua Dstv
Hawa tbc sio watu wa michezo hawa ni wa kupamba na kusifia serikali na ndio sehemu pekee waliyofanikiwa hadi sasa. Tamaa na ukiritimba imepelekea kutuhadaa watanzania kuwa wataonyesha mechi za kombe la dunia cha ajabu game inaonyeshwa moja moja tena wakati ambao umeme haupo.
,tbc ni wahuni tu na wapo kimbungi mtonyo tu.
a
 
Tafuta pesa iyo sio chanel ya mpira. Chanel ya mpira ziko DSTV.
 
Pole Mr. Frustration .Ila walitangaza baada ya kuisha mechi ya Morocco kuwa hawataonyesha.,[emoji28]
dst sina na hauwezi nunua dish kwa ajiri ya kombe la dunia ambalo kila baada ya miaka 4
 
dst sina na hauwezi nunua dish kwa ajiri ya kombe la dunia ambalo kila baada ya miaka 4
Wenzio tuko serious na World Cup,hiki unachofanya ni makasiliko na malalamiko yasio na msingi,tafuta hela TBC sio channel ya mpira
 
Attachments

  • IMG_20221123_163933.jpg
    IMG_20221123_163933.jpg
    468.1 KB · Views: 1
dst sina na hauwezi nunua dish kwa ajiri ya kombe la dunia ambalo kila baada ya miaka 4
Kama sababu ni hii wewe unalalamika nini?

Yan unakaa unasubiri kuangalia WC kupitia TBC. Mkuu kila kitu kuhusu mpira ni DSTV hao TBC wao ni kama wavamizi tu kwa haya maswala. Mimi sikumbuki mara ya mwisho kuweka hiyo chanel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom