Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
Hawa tbc sio watu wa michezo hawa ni wa kupamba na kusifia serikali na ndio sehemu pekee waliyofanikiwa hadi sasa. Tamaa na ukiritimba imepelekea kutuhadaa watanzania kuwa wataonyesha mechi za kombe la dunia cha ajabu game inaonyeshwa moja moja tena wakati ambao umeme haupo.
,tbc ni wahuni tu na wapo kimbungi mtonyo tu.
dst sina na hauwezi nunua dish kwa ajiri ya kombe la dunia ambalo kila baada ya miaka 4Wacha majungu Mambo yote DSTV
aHawa tbc sio watu wa michezo hawa ni wa kupamba na kusifia serikali na ndio sehemu pekee waliyofanikiwa hadi sasa. Tamaa na ukiritimba imepelekea kutuhadaa watanzania kuwa wataonyesha mechi za kombe la dunia cha ajabu game inaonyeshwa moja moja tena wakati ambao umeme haupo.
,tbc ni wahuni tu na wapo kimbungi mtonyo tu.
dst sina na hauwezi nunua dish kwa ajiri ya kombe la dunia ambalo kila baada ya miaka 4
Umemaliza kila kitu mkuuTafuta pesa iyo sio chanel ya mpira. Chanel ya mpira ziko DSTV.
Mpira ni starehe..Huwezi kulipia tulia na achana nayo..dst sina na hauwezi nunua dish kwa ajiri ya kombe la dunia ambalo kila baada ya miaka 4
Wenzio tuko serious na World Cup,hiki unachofanya ni makasiliko na malalamiko yasio na msingi,tafuta hela TBC sio channel ya mpiradst sina na hauwezi nunua dish kwa ajiri ya kombe la dunia ambalo kila baada ya miaka 4
Mechi hazirushwi tu,Kuna haki sharti uwe Nazodst sina na hauwezi nunua dish kwa ajiri ya kombe la dunia ambalo kila baada ya miaka 4
Kama sababu ni hii wewe unalalamika nini?dst sina na hauwezi nunua dish kwa ajiri ya kombe la dunia ambalo kila baada ya miaka 4