johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Uwe unafuatiria ratiba mkuu, sio Kila mechi wanaonesha wenye haki ya Kila mechi ni DSTV tu. Kwa Leo TBC1 wataonesha Senegal vs england saa nne usikuSioni dalili zozote kama game ya France vs Poland itaonyeshwa mubashara
Ninachoona ni shughuli za harusi tu
Niliambiwa hapa Jf kuwa TBC wataonesha mechi zote za mtoanoUwe unafuatiria ratiba mkuu, sio Kila mechi wanaonesha wenye haki ya Kila mechi ni DSTV tu. Kwa Leo TBC1 wataonesha Senegal vs england saa nne usiku
Sio kweli hata Jana mechi ya USA vs uholanzi haikurushwa.Niliambiwa hapa Jf kuwa TBC wataonesha mechi zote za mtoano
Uliambiwa na nani? Fuata maelezo ya wadau hapo juu. Kama unaona hao TBC hawatendi haki, nunua kisimbuzi cha dstv.Niliambiwa hapa Jf kuwa TBC wataonesha mechi zote za mtoano
Simple & clear, kama umaskini unmtafuna, atulie hivyo hivyo na TBC1Uliambiwa na nani? Fuata maelezo ya wadau hapo juu. Kama unaona hao TBC hawatendi haki, nunua kisimbuzi cha dstv.
Hawana hiyo haki ya mechi zote. Walisema wanakuletea michezo ya kombe la Dunia ila hawakusema yote.Hao hamna kitu, walijinasibu mechi zote 64 lakini imekuwa tofauti
Pole ilikua harusi yangu nisingevumiliaSioni dalili zozote kama game ya France vs Poland itaonyeshwa mubashara
Ninachoona ni shughuli za harusi tu
Sio kweli, mzee mgaya watoto walikudanganyaNiliambiwa hapa Jf kuwa TBC wataonesha mechi zote za mtoano
Hawa wana kibali cha kuonesha game 28 tu kwa hiyo huwa wanachagua mechi za kuonesha usiwalaumuSioni dalili zozote kama game ya France vs Poland itaonyeshwa mubashara
Ninachoona ni shughuli za harusi tu
Nimeshaagiza king'amuzi cha Dstv kwa ShelukindoView attachment 2435851
Kuna watu hawafuatilii mambo kabisa kazi kukurupuka tu na kutoa lawama. Watu wengi wametuma sana hii ratiba lkn watu hawachoki kutoa lawama kuhusu TBC kutoonesha baadhi ya mechi ambazo ziko nje ya ratiba yao., hii ndio ratiba ya mechi zitakazo oneshwa TBC, Tujitaidi kufuatilia vizuri ratiba kwa wanaotegemea TBC lasivyo basi mechi zote zinaoneshwa na DSTv.
Tumia app ya live ten sport uhakikaWatangazaji wa tbc mmekuja kuleta utetezi, ila mnaboa kuna wakati TBC HD inaganda mpaka mpira unaisha, ruzuku mnapewa lakini ubabaishaji kibao.