TBC FIFA World Cup imewashinda?

TBC FIFA World Cup imewashinda?

Uliambiwa na nani? Fuata maelezo ya wadau hapo juu. Kama unaona hao TBC hawatendi haki, nunua kisimbuzi cha dstv.
Simple & clear, kama umaskini unmtafuna, atulie hivyo hivyo na TBC1

Hata hivyo hili kumbe kwa Tz yetu hamna haja ya kushobokea, maana Tanesco lishakuwa janga la kitaifa tena kwa maksudi ili wapige noti za kutosha! Mgao hadi kipindi cha mvua kweli?
 
IMG_2480.jpg

Kuna watu hawafuatilii mambo kabisa kazi kukurupuka tu na kutoa lawama. Watu wengi wametuma sana hii ratiba lkn watu hawachoki kutoa lawama kuhusu TBC kutoonesha baadhi ya mechi ambazo ziko nje ya ratiba yao., hii ndio ratiba ya mechi zitakazo oneshwa TBC, Tujitaidi kufuatilia vizuri ratiba kwa wanaotegemea TBC lasivyo basi mechi zote zinaoneshwa na DSTv.
 
View attachment 2435851

Nimeshaagiza king'amuzi cha Dstv kwa Shelukindo
 
TBC inatumia kodi za watanzania lakini wenye kuifaidi ni ccm. Bure kabisa.
 
Watangazaji wa tbc mmekuja kuleta utetezi, ila mnaboa kuna wakati TBC HD inaganda mpaka mpira unaisha, ruzuku mnapewa lakini ubabaishaji kibao.
 
Back
Top Bottom