TBC inapoteza wafuatiliaji kwa mambo ya kujitakia wenyewe

Kiufupi nahuzunika kuona nchi yetu inazidi kurudi nyuma yaaani yaaani hatuna vifaa vya uokoaji vya kisasa kweli kweli watu wanakufa kizembe kweli arafu jambo hili kuna watu wamesign posho kweli kifo cha mwenzako kwako fulsa kweli wale wote walioweka mikono nyuma na wametoka dar au Dodoma walifata nini huku wakituchanganya na idadi kamili hawana,vifaa vya uokoaji sio ndo akina kangi walitaka kupiga ela wakati wa magu,ifike mahala serikali iwajibike yenyewe inamaana hata ndege za jeshi za uokoaji hakuna?kweli Hii Ni AIBU kutwa na vikombe kuombaomba kwa watu tunashindwa hata kubuni mitumbwi ya kisasa kuwaboreshea wavuvi ambao hawana thamani wakati wa raha lkn wakati wa shida unamsujudia akupe msaada nasema wahusika muachie ngazi wenyewe bila kushurutishwa MUNGU anawaona kila kitu kusifu ni Mungu pekee yatupasa kumsifu tuwe na uhalisia wa maisha Habari zinapikwa kila zitokapo,samahani kwa uandishi ujumbe umefika.
 
bila samahani mkuu ujumbe umefika
 
Unachanganya sana. Kuna

TBC ONE.
TBC TAIFA.
TBC FM.
TBC INTERNATIONAL.
TBC JAMII.

HIZO ZOOOTE NI TBC.
 
In short ni Main stream zote za bongo ni michosho. Walishindwa hata kulipa reporter mmoja akaingia Live kwa wote kwa pamoja?

Kila siku mnatuambia uzalendo ajabu nyie hamna uzalendo. Nili turn TBC nikakupa mahojiano ya Dj arungu sijui kurudi Clouds nakuta kwaya. Star Tv ambao wako karibu wanaonesha hotuba ya Mama iliyopita mambo ya gas ya kupikia nilipata hasira sana.
 
Hiki kitu hata mimi kimenishangaza.
 
Hao waambie kuleta habali mbashara za Vikao vya CCM hutowakosa hewani
 
Back
Top Bottom