Leo ACT-Wazalendo wako Lindi wanazindua kampeni, Mic akashika mtu anayeitwa Chaurembo. Japo maneno yalikuwa makali kiasi chake, TBC wakaamua kurudi studio na ku-buy time mpaka mhusika amalize ndio sauti ikarudi ya uwanjani. Inaleta impression mbaya kwa shirika, ama wachague kwenda au kutokwenda. Kama sheria inawalazimu bora wawaambie chama chenye wabunge wengi wakaibadili kwa kutumia wingi wao lakini si hivi wanavyofanya.