Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
Aliye sema maneno makali ndio chanzo Cha kukatwa matangazo ni huyo mtoa mada sio mimi mkuu hayo maswali yako muulize yeye ni yepi aliyo yaona makali.Maneno makali kwa muktadha gani mkuu?. Hata Magufuli alivyowaita watoto wawatu nivilaza yale yanaweza kuwa maneno makali, lakini vipi Mpinzani akisema ccm nivilaza itakua maneno makali au sio makali?. Je neno hilo akilitamka Maguful unaamini TBC watakata matangazo?.
Namimi nikauliza kwanini watumie maneno makali?
Hayo sijui kawaita watoto vilaza mimi wala siyajui nilicho uliza mimi kwenye hizi kampeni kwanini kuwa na hayo maneno ya hivyo mbona kwenye kampeni za ccm pale Dodoma hatukusikia neno hata moja lenye kutia shaka kwa mtu kuwa ni kali?
Alafu hivi mkuu mfano ikatokea siku mliki wa JF akitukana mtu hapa basi tuseme sasa tumepata kibali na sisi cha kutukana hovyo?