Hujaelewa, soma tena mkuu..Muongo wahedi ! Mbona wako hewani vizuri tuu ?? TBC ni chombo makini kinafuata maadili !!
Mkuu hata wewe mwenyewe unakili kabisa maneno yalikuwa makali.
Hivi kwani ni lazima kutamka maneno ya hivyo ndo uonekane wewe ni mpinzani?
Kwenye mkutano wa ccm juzi mbona hatukusikia hayo maneno makali kwanini iwe wapinzani tu ?
Maneno makali kwa muktadha gani mkuu?. Hata Magufuli alivyowaita watoto wawatu nivilaza yale yanaweza kuwa maneno makali, lakini vipi Mpinzani akisema ccm nivilaza itakua maneno makali au sio makali?. Je neno hilo akilitamka Maguful unaamini TBC watakata matangazo?.Mkuu hata wewe mwenyewe unakili kabisa maneno yalikuwa makali.
Hivi kwani ni lazima kutamka maneno ya hivyo ndo uonekane wewe ni mpinzani?
Kwenye mkutano wa ccm juzi mbona hatukusikia hayo maneno makali kwanini iwe wapinzani tu ?
Wewe mwenyewe ushasema maneno yalikua makali alafu unanung'unikaLeo ACT wako Lindi wanazindua kampeni, Mic akashika mtu anayeitwa Chaurembo. Japo maneno yalikuwa makali kiasi chake, TBC wakaamua kurudi studio na ku-buy time mpaka mhusika amalize ndio sauti ikarudi ya uwanjani. Inaleta impression mbaya kwa shirika, ima wachague kwenda au kutokwenda. Kama sheria inawalazimu bora wawaambie chama chenye wabunge wengi wakaibadili kwa kutumia wingi wao lakini si hivi wanavyofanya.
Lissu wa nini wakati TBC muliwafukuza.Naona mitambo ya TBC imesetiwa kulitema jina la Lissu, Mbunge Bwege wakati anaongea alivyotaja jina la Lissu pale pale sauti ikapotea. Wapuuzi sana TBC
Mkuu hata wewe mwenyewe unakili kabisa maneno yalikuwa makali.
Hivi kwani ni lazima kutamka maneno ya hivyo ndo uonekane wewe ni mpinzani?
Kwenye mkutano wa ccm juzi mbona hatukusikia hayo maneno makali kwanini iwe wapinzani tu ?
Tbc hovyo kabisa.Leo ACT wako Lindi wanazindua kampeni, Mic akashika mtu anayeitwa Chaurembo. Japo maneno yalikuwa makali kiasi chake, TBC wakaamua kurudi studio na ku-buy time mpaka mhusika amalize ndio sauti ikarudi ya uwanjani. Inaleta impression mbaya kwa shirika, ima wachague kwenda au kutokwenda. Kama sheria inawalazimu bora wawaambie chama chenye wabunge wengi wakaibadili kwa kutumia wingi wao lakini si hivi wanavyofanya.
Naona hapa wamekata performance ya Neema wa MitegoMuongo wahedi ! Mbona wako hewani vizuri tuu ?? TBC ni chombo makini kinafuata maadili !!
Mbona na mgombea wetu ni mhutu. Kwani hilo nalo hulijui? Uliwahi kulisikia hilo jina na ubini wake hapa TZ?Utakuwa Mhutu wewe si bure.
Mkuu tema mate chini. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Zitto na membe wameongea mwanzo mwisho live TBC 1 n TBC taifa bila kukatiwa matangazo. Usiwaige cdm, itawagharimu.Leo ACT wako Lindi wanazindua kampeni, Mic akashika mtu anayeitwa Chaurembo. Japo maneno yalikuwa makali kiasi chake, TBC wakaamua kurudi studio na ku-buy time mpaka mhusika amalize ndio sauti ikarudi ya uwanjani. Inaleta impression mbaya kwa shirika, ima wachague kwenda au kutokwenda. Kama sheria inawalazimu bora wawaambie chama chenye wabunge wengi wakaibadili kwa kutumia wingi wao lakini si hivi wanavyofanya.
Wapuuzi sana hao jamaa! Zakhiem ilikuwa hivvo hivyo.Leo ACT wako Lindi wanazindua kampeni, Mic akashika mtu anayeitwa Chaurembo. Japo maneno yalikuwa makali kiasi chake, TBC wakaamua kurudi studio na ku-buy time mpaka mhusika amalize ndio sauti ikarudi ya uwanjani. Inaleta impression mbaya kwa shirika, ima wachague kwenda au kutokwenda. Kama sheria inawalazimu bora wawaambie chama chenye wabunge wengi wakaibadili kwa kutumia wingi wao lakini si hivi wanavyofanya.