Uchaguzi 2020 TBC kama inahisi mikutano ya Wapinzani ina shida bora isiende Live kuliko wanavyofanya

Aliye sema maneno makali ndio chanzo Cha kukatwa matangazo ni huyo mtoa mada sio mimi mkuu hayo maswali yako muulize yeye ni yepi aliyo yaona makali.
Namimi nikauliza kwanini watumie maneno makali?
Hayo sijui kawaita watoto vilaza mimi wala siyajui nilicho uliza mimi kwenye hizi kampeni kwanini kuwa na hayo maneno ya hivyo mbona kwenye kampeni za ccm pale Dodoma hatukusikia neno hata moja lenye kutia shaka kwa mtu kuwa ni kali?

Alafu hivi mkuu mfano ikatokea siku mliki wa JF akitukana mtu hapa basi tuseme sasa tumepata kibali na sisi cha kutukana hovyo?
 
Mkuu hata wewe mwenyewe unakili kabisa maneno yalikuwa makali.
Hivi kwani ni lazima kutamka maneno ya hivyo ndo uonekane wewe ni mpinzani?
Kwenye mkutano wa ccm juzi mbona hatukusikia hayo maneno makali kwanini iwe wapinzani tu ?
how do you anticipate maneno makali? Maana mtu ananza tu, unakata; mwache aongee tumhukumu.
 
".......Japo maneno yalikuwa makali kiasi chake,........."Wanasimamia sheria za Uandishi wa habari zilizotungwa na wabunge wetu tuliowachagua sioni tatizo lao kabisa
sheria inawambia camera zao zionyeshe jukwaa kuu tu, nyomi isionyeshwe
 
Haina shida ila hawawezi kurusha kila takataka inayotamkwa
 
Kuijadili TBC ni kupoteza mda.TBC ilikuwa enzi ya Tido
 
Yaani hata kwa hili unataka kuwalaumu TBC?.
 
Mkuu nimeuliza maneno makali niyapi?. Kila mtu ananamna anavyoyajaji maneno makali, sasa naomba unieleze wewe sheria ya vyombo vya habari inayatafsiri vipi maneno makali?. Maana asije kuwa kuna wahuni wakisika Lissu katajwa wanakata eti Lissu ni maneno makali.
 
Usiwapangie!
 
Lengo ni hujumu wapinzani
 
Mkuu hata wewe mwenyewe unakili kabisa maneno yalikuwa makali.
Hivi kwani ni lazima kutamka maneno ya hivyo ndo uonekane wewe ni mpinzani?
Kwenye mkutano wa ccm juzi mbona hatukusikia hayo maneno makali kwanini iwe wapinzani tu ?
Kumwajiri mgombea Urais kazi ndogondogo mbona hamkuikata tusiisikie? Unaona hiyo kauli ya udhalilishaji ni sahihi?
 
Nakuunga mkono kabisa,ni bora wasiende ili anayetaka kuwasikiliza wapinzani
aende mwenyewe awasikilize badala ya kupangiwa cha kusikiliza.

Natamani si wagombea au wanavyombo vya habari wasitufanye sisi wajinga.
Tunao uwezo wa kupima hoja na kumlipa mtu sawasawa na anachostahili
sasa waandishi wakitaka tusikilize wanachotaka tusikilize,hata kwenye sanduku la kura watatusaidia kupiga kura.
 
Kumwajiri mgombea Urais kazi ndogondogo mbona hamkuikata tusiisikie? Unaona hiyo kauli ya udhalilishaji ni sahihi?
Mwigulu anasema kuna watu wameshapokea advance ya kuuza nchi, Je haya?
 
TBC ni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...watu wanajua kulinda ugali wao
 
TBC na mikutano ya Lisu hawakuanza leo kuhujumu. Nakumbuka kipindi cha kampeni 2010 waliwahi kumwonyesha akihutubia watoto 10 na watu wazima kama wanne tu.. Na bado akashinda ubunge
 
..ila jana Chaurembo wa ACT kawapiga vibaya sana CCM.

..kwa mara ya kwanza niliwaonea huruma CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…