Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka ale na nani?Kilaza wewe, miundombinu ya Magufuli ni ipi? Zile trillion moja alizokwapua mbona alizila peke yake!
Nadhan next week naenda kanda ile ntakupa jibuMwite sasa aje
Akaile kule kaburini. Tena ni moja na nusu, jambazi hadumu, lazima aoze, alijiona Mungu mtu akadhani ataishi milele. Hakukemea alipoitwa Mungu, hakuwakanya walipodiriki kusema Mungu ashuke ajifunze kwa pombe.Meko alipiga trilioni moja
Kile kipindi ilikuwa ni Cha kutuduwaza wakati jiwe na genge lake wanatupigaNi swali hili. Kipindi cha Hayati kulikuwa na Kipindi cha kishindo cha awamu ya tano. Sasa mbona hamkiendelezi kwenye hii awamu ya Sita? Shida nini!?
Duuh! Alikuwa jambazi la karne!Ulitaka ale na nani?
Kwani Mbowe huwa anakugawia?
Mbona hata wewe ni jambazi ila tu hujapata nafasi ya kufanya ujambaziDuuh! Alikuwa jambazi la karne!
Najua ujambazi ni jadi yenu,sasa mnahalalisha kwa kusingizia wengine!Mbona hata wewe ni jambazi ila tu hujapata nafasi ya kufanya ujambazi
Hawatakaa wasahauNi swali hili. Kipindi cha Hayati kulikuwa na Kipindi cha kishindo cha awamu ya tano. Sasa mbona hamkiendelezi kwenye hii awamu ya Sita? Shida nini!?
Hivyo tulishafika huko , Nimeacha kuangalia hiyo TBC toka kampen za Mkapa mwaka 1995.TBC walikuwa na vipindi vitatu (1)kishindo cha awamu ya tano(2)Tunatekeleza(3)Tanzania mpya vyote vilikuwa vya kumsifia na kumtukuza Magufuli.
Shida ni kuwa wamekwamia bado awamu iliyopita,yafaa tuwasaidie kujikwamua kutokamo.Ni swali hili. Kipindi cha Hayati kulikuwa na Kipindi cha kishindo cha awamu ya tano. Sasa mbona hamkiendelezi kwenye hii awamu ya Sita? Shida nini!?
Wajane mna vitukoAwamu ya 6 haina kishindo chochote!
Kama hadi mitambo ya hapo bandarini inatukbukia kwenye maji kuna kishindo gani hapo?
Luku tu imetulaza watu giza siku 5 kuna kishindo gani hapo?
Kama sekta nyeti ya TRA network inakatika kutwa nzima kuna kishindo gani hapo?
Makusanyo ya mwezi huu ni bilioni 300 tu.
Mtengenezaji na mtengenezewa wote RIP
-Nyuso za furaha na mioyo iliyojaa matumaini vinarudi kwa kasi kubwa.Awamu ya 6 haina kishindo chochote!
Kama hadi mitambo ya hapo bandarini inatukbukia kwenye maji kuna kishindo gani hapo?
Luku tu imetulaza watu giza siku 5 kuna kishindo gani hapo?
Kama sekta nyeti ya TRA network inakatika kutwa nzima kuna kishindo gani hapo?
Makusanyo ya mwezi huu ni bilioni 300 tu.
Huna ujualo!-Nyuso za furaha na mioyo iliyojaa matumaini vinarudi kwa kasi kubwa.
-Makusanyo yatokanayo na dhulma/unyang'anyi yatakwisha.
-Makusanyo ya haki na hiyari yataanza kupanda baada ya miezi miwili.
Luka 19: 8- Lakini Zakayo akasimama, akamwambia Bwana, "Tazama, Bwana, hapa na sasa nitawapa masikini nusu ya mali yangu, na kama nimewadanganya mtu yeyote kwa kitu chochote, nitawalipa mara nne kiasi."
Lakini bado twakumbuka kwa uchungu mkubwa
-Maiti kwenye viroba
-mashambulizi na utekaji wa wanasiasa
-vitisho muda wote na kubambikiwa kesi
-Uhuru wa kukutana kukandamizwa
-Ukandamizaji wa uhuru wa vyombo vya habari
-uhaba wa sukari na kupanda bei1800/- mpaka 2800 ya sasa
-wakulima wa korosho walivyoteseka
-etc
Tbc VIGEUGEU kama Kina SpikaNi swali hili. Kipindi cha Hayati kulikuwa na Kipindi cha kishindo cha awamu ya tano. Sasa mbona hamkiendelezi kwenye hii awamu ya Sita? Shida nini!?
Awamu haijawa na kishindo. Au unataka kishindo cha Hamo JeshiNi swali hili. Kipindi cha Hayati kulikuwa na Kipindi cha kishindo cha awamu ya tano. Sasa mbona hamkiendelezi kwenye hii awamu ya Sita? Shida nini!?
Mjaneee wa mwendazake upo!?Awamu ya 6 haina kishindo chochote!
Kama hadi mitambo ya hapo bandarini inatukbukia kwenye maji kuna kishindo gani hapo?
Luku tu imetulaza watu giza siku 5 kuna kishindo gani hapo?
Kama sekta nyeti ya TRA network inakatika kutwa nzima kuna kishindo gani hapo?
Makusanyo ya mwezi huu ni bilioni 300 tu.