TBC kiko wapi kipindi cha kishindo ya awamu ya sita?

TBC kiko wapi kipindi cha kishindo ya awamu ya sita?

Ni swali hili. Kipindi cha Hayati kulikuwa na Kipindi cha kishindo cha awamu ya tano. Sasa mbona hamkiendelezi kwenye hii awamu ya Sita? Shida nini!?
Hakuna awamu ya sita Tanzania. Nafikiri nyote mnaodemka kwa hilo mnapaswa kurejeshwa darasani. Hivyo mjue kabisa hakuna hicho kitu. Mwaka jana tulipiga kura kuchagua awamu ya tano. Kifo cha Rais hakibadili awamu bali kinabadili Rais. Hivyo Samia anaendelea kuwa Rais wa 6 katika awamu ya tano. Muwe mnajifunza na kuelewa. Msiwe mapoyoyo.

Ni sawa na kusema leo Ndugai asipokuwa Spika basi spika ajae analifanya bunge kuwa la 13.
 
Kwanza TBC wenyewe hawaamini bado kama baba yao kashawatoka
 
Ni swali hili. Kipindi cha Hayati kulikuwa na Kipindi cha kishindo cha awamu ya tano. Sasa mbona hamkiendelezi kwenye hii awamu ya Sita? Shida nini!?
Kujipendekeza kwenye awamu ya sita hakulipi tena.

Waimba mapambio na walamba miguu wa awamu ya tano, wengi wao wanateseka kwa njaa. Msomi Ayoub Rioba na wasomi wenzake walionyesha udhaifu mkubwa sana na wa aibu kwenye hili.

Ndiyo maana baada ya waliekuwa wanamtegemea kwendazake, TBC chombo cha umma, kimepwaya mno kutokana na kujiingizana kwenye siasa za kijinga. Hata tenda ya kurusha matangazo ya TV mpira wa Tz, TBC ambao waliwahi kurusha mashindano ya klabu bingwa Afrika, sasa wanaangusha kama watoto.
 
Ila ukoo wenu wote unatafunwa na umasikini na kamwe hamuwezi kuufikia ukoo wake kwa utajiri!
Wewe sukule huyo sadist na kilaza wako mwendazake kabla ya kuwa rais alikuwa hanifikii.
Njoo nikupe ajira kati ya JNHHP, SGR, Goodwill.
 
Awamu ya sita mama kasema/karuhusu akosolewe labda wanaandaa kipindi cha kumkukosoa
 
Ni swali hili. Kipindi cha Hayati kulikuwa na Kipindi cha kishindo cha awamu ya tano. Sasa mbona hamkiendelezi kwenye hii awamu ya Sita? Shida nini!?
Ripoti ya CAG ilivuruga kila kitu baada ya kuonyesha dhahiri bin shayiri kwamba kulikuwa hakuna kishindo cha maendeleo bali KISHINDO CHA UBADHIRIFU WA AWAMU YA 5!! Haijapata kutokea katika historia ya miaka 60 ya Tanzania,
 
Wewe sukule huyo sadist na kilaza wako mwendazake kabla ya kuwa rais alikuwa hanifikii.
Njoo nikupe ajira kati ya JNHHP, SGR, Goodwill.
Pole dogo!

Umeshindwa kuusaidia ukoo wako unaliwa na umasikini kule kijijini kwenu alafu unataka unipe mimi kazi?

Ebo
 
Ni swali hili. Kipindi cha Hayati kulikuwa na Kipindi cha kishindo cha awamu ya tano. Sasa mbona hamkiendelezi kwenye hii awamu ya Sita? Shida nini!?
Mkuu kama ulikuwa hufahamu ni kwamba, hii ni awamu ya tano ile ile, isipokuwa Rais ndio wa sita.
 
Back
Top Bottom